TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

tuanze hivi...

ana uwenyeji wa kiasi gani ndani ya jengo hilo kiasi cha kwenda direct ma kujirusha
mashuhuda watusaidie, si alitumia lift kama uelezavyo... muda gani aliingia ndani ya lift na muda gani tukio lilitokea haswa (ili kuona kama kunauwezukano wa kuwepo kwa tukio lingine kabla ya kujirusha kwake) ... +ule muda aliofika na kupark hiyo gari (katika maelezo yako)
alikuwa katika hali gani alipoingia kwenye jengo hilo
ni mkazi wa wapi hapo dar
 
Tunaishi ka ng'ombe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…