kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
wewe umesoma vingapi? mbona hakuna anayekuona smart?Sahihi, bongo wewe soma vitabu vitatu tu uwe unawapa watu story wanazopenda, tayari unakuwa genius na smart sana.
unafamu CV yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe umesoma vingapi? mbona hakuna anayekuona smart?Sahihi, bongo wewe soma vitabu vitatu tu uwe unawapa watu story wanazopenda, tayari unakuwa genius na smart sana.
eti anakuambia anasoma vitabu😂😂Watanzania wengi wana wivu wa kijinga sana na roho za kifukara kama wachawi. Ukifuatiliaji comments za wengi humu watu roho zinawauma Ile mbaya Kwa mafanikio ya Nnanauka. Ni wachache sana Wanao appreciate mafanikio ya Joel na usmart wake kichwani.
chizi la taifa,Utafanyaje sasa na nishakuwa baba yako mlaumu mama yako mzazi kwa kunichanulia miguu
ukishasema muelevu basi jua ana kituWerevu huwatumia wajinga kama mtaji
Unamdhalilisha mama yakochizi la taifa,
wewe si mgawa utamu pale studio - kinondoni?😂😂
unapumuliwa hadi unapoteza network?
Maskini choka mbaya kama ninyi ndio mnahitaji kupewa matumaini uchwara ya kuwafariji na ukapuku wenu.sifa moja wapo ya maskini ni kuchukia mafanikio ya watu
kuwa na chuki ni umaskini mkubwa kuliko hata umaskini wa pesa maana umaskini huo ni ngumu kuondoka labda ufe nao ndio utaondoka
kwaiyo kaoa ubongo sioNaona hajaoa SURA, bila shaka kaona ubongo, wa kufanana nae kiubongo..!! Hongera Joel
😅😅😅😅Soon atanza kuonja joto la jiwe
Poleeee sanaa broohzz!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kihaba boy yule. Jamaa yupo vizuri sana kichwani. O-Level mwaka 2002 alikuwa mwanafunzi wa pili kitaifa kwa ufaulu wa kwanza akiwa Moses Mwizarubi. Nilikuwa nafuatilia sana maana ule ulikuwa mwaka wangu ingawa mimi sikubahatika kusoma shule ya vipaji but nilikuwa napenda mambo ya "Education is Better than Money". Ningejuaga kama Money is better than education ningeishiaga form IV tu nikaingie zangu mishen town. 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Safi sana. Nilichogundua wengi humu wanasumbuliwa na wivu. Ooh ka copy ooh hakuwa TO yani ilimradi tu. Hata huko mitandaoni mnakosoma si mawazo ya watu wameandika? Halafu kila mtu ana njia zake za kutafuta ugali ku Copy na kujazia nyama hadi kupata watu wakusoma na ku enjoy ni akili kubwa pia . Mbona wewe hujaweza kufanya hivyo kama ni rahisi. Nanauka ni akili kubwa! Go Nanauka hupoi wala huboi. Wakuache!Yule ni Mwalimu wa chuo kikuu nje anafundisha kwa njia ya masafa.
Yule ni mwandishi wa vitabu
Ni Speaker
Ni psychologist
Ni mentor anafanya mentorship
Ana NGO yake inaitwa Nanauka Foundation.
Anafanya Research ni researcher
Nanauka ni partner anafanya kazi na serikali katika kutoa huduma ya self-development tena kwa viongozi wakubwa .
Sasa MTU kama huyo atakosaje PESA hata million kadhaa
Kwanza akipokea CALL moja ktk foundation si HELA nyingi tu
Kwanza hela yake anayochukua YouTube si ni mshahara kabisa wa MTU