Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Hamna kitu humo. Hivi ninyi mnaosubiri motivational speakers ndo mfanye jambo mnaishi sayari gani? Hivi kweli a normal human being unahitaji kutiwa moyo ili utafute pesa? Mimi tangu niko chuo walikua wanakuja kibao basi naona washkaji wanajaa kweli kuwasikiliza najisema tu hii nchi wajinga hawaishi.
Hivi motivational speaker ataongea nini cha maana.
Et mtu unakuta anamsikiliza Chris Mauki namna ya kuendesha ndoa. Hivi kweli ujinga hauna faida aisee, yani ndoa yako unasubiri mtu akueleze et mke anahitaji hiki na hiki ndo ukafanye.
Hii nchi ziongezwe hispitali za vichaa aisee