Joel Nanauka akifurahia ndoa

Joel Nanauka akifurahia ndoa

Hamna kitu humo. Hivi ninyi mnaosubiri motivational speakers ndo mfanye jambo mnaishi sayari gani? Hivi kweli a normal human being unahitaji kutiwa moyo ili utafute pesa? Mimi tangu niko chuo walikua wanakuja kibao basi naona washkaji wanajaa kweli kuwasikiliza najisema tu hii nchi wajinga hawaishi.

Hivi motivational speaker ataongea nini cha maana.

Et mtu unakuta anamsikiliza Chris Mauki namna ya kuendesha ndoa. Hivi kweli ujinga hauna faida aisee, yani ndoa yako unasubiri mtu akueleze et mke anahitaji hiki na hiki ndo ukafanye.

Hii nchi ziongezwe hispitali za vichaa aisee
 
Kumbe alisoma Kibaha miaka 6.
Kihaba boy yule. Jamaa yupo vizuri sana kichwani. O-Level mwaka 2002 alikuwa mwanafunzi wa pili kitaifa kwa ufaulu wa kwanza akiwa Moses Mwizarubi. Nilikuwa nafuatilia sana maana ule ulikuwa mwaka wangu ingawa mimi sikubahatika kusoma shule ya vipaji but nilikuwa napenda mambo ya "Education is Better than Money". Ningejuaga kama Money is better than education ningeishiaga form IV tu nikaingie zangu mishen town. 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Hamna kitu humo. Hivi ninyi mnaosubiri motivational speakers ndo mfanye jambo mnaishi sayari gani? Hivi kweli a normal human being unahitaji kutiwa moyo ili utafute pesa? Mimi tangu niko chuo walikua wanakuja kibao basi naona washkaji wanajaa kweli kuwasikiliza najisema tu hii nchi wajinga hawaishi.

Hivi motivational speaker ataongea nini cha maana.

Et mtu unakuta anamsikiliza Chris Mauki namna ya kuendesha ndoa. Hivi kweli ujinga hauna faida aisee, yani ndoa yako unasubiri mtu akueleze et mke anahitaji hiki na hiki ndo ukafanye.

Hii nchi ziongezwe hispitali za vichaa aisee
Werevu huwatumia wajinga kama mtaji
 
1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.

2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa ila bahati haikuwa Yao. Asanteni.
View attachment 3059650
Jamaa alikataliwa au alisalitiwa maana mademu wengi wa Kibongo hawapendi mtu anayeishi maisha sahihi, wakishazalishwa watoto kadhaa na wanaume tofauti tofauti ndipo wanaamka na kutaka waume za watu tena kwa kuwaroga ili wawatunzie watoto waliozaa na vibaka.
 
Jamaa anatoa huduma nzuri sana kwa jamii. Wengi hata maarifa yale madogo anayotoa hawana namna ya kuyapata na hawajawahi kuyasikia. Tunaopitiapitia vitabu ndiyo tunaona ni maarifa ya chini. Mi nilijaribu kusoma kitabu chake, lakini nilivyosoma kuwa kuna chuo cha Dale Carnegie, akimchanganya Dale Carnegie na Andrew Carnegie, nikashindwa kuendelea.
 
Nilikubali clip yake moja alipokua anawashauri wanaume waishi...wajikumbuke..wasijisahau kwa sbb ya majukumu..yani wao wanajitoa kwa wengine na kutatua matatizo ya wengine kwny familia wanajisahau kuwa na wao ni binadamu wanachoka kuna siku miili yao itagoma watalala vitandani je wale waliokuwa wanawapigania watakua nao?, so alikuwa anawakumbusha kujikumbuka..kucheck afya..kula kwa wakati...n.k
 
Halafu anatokea mjinga mmoja anamdharau mwamba 😂😂

chuki zako kwa wenye mafanikio hazitakufanya ufanikiwe bali utadidimia chini zaidi
 
Attachments

  • Screenshot_20240811-221642.png
    Screenshot_20240811-221642.png
    1.2 MB · Views: 7
  • Screenshot_20240811-221635.png
    Screenshot_20240811-221635.png
    248.2 KB · Views: 9
Hamna kitu humo. Hivi ninyi mnaosubiri motivational speakers ndo mfanye jambo mnaishi sayari gani? Hivi kweli a normal human being unahitaji kutiwa moyo ili utafute pesa? Mimi tangu niko chuo walikua wanakuja kibao basi naona washkaji wanajaa kweli kuwasikiliza najisema tu hii nchi wajinga hawaishi.

Hivi motivational speaker ataongea nini cha maana.

Et mtu unakuta anamsikiliza Chris Mauki namna ya kuendesha ndoa. Hivi kweli ujinga hauna faida aisee, yani ndoa yako unasubiri mtu akueleze et mke anahitaji hiki na hiki ndo ukafanye.

Hii nchi ziongezwe hispitali za vichaa aisee
unajua maana ya motivation speaker?

amewahi kukuambia yeye ni motivation speaker?
 
Tatizo la maskini choka mbaya kama wewe unadhani kuitwa bungeni ndio sifa kuu.

Wakati hao hao wabunge wenyewe wanazidiwa elimu, maarifa na fedha na watu wengi sana.

Halafu Mlala hoi kama wewe unadhani kuitwa bungeni ndio kwamba unajua kila kitu.

Una ulimbukeni na ujinga.
sifa moja wapo ya maskini ni kuchukia mafanikio ya watu

kuwa na chuki ni umaskini mkubwa kuliko hata umaskini wa pesa maana umaskini huo ni ngumu kuondoka labda ufe nao ndio utaondoka
 
Back
Top Bottom