Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ndio maana wavivu na wajinga kama wewe msiotaka kujifunza kwa kushughulisha akili zenu kutafuta maarifa, Mnasubiria kutafuniwa nyie mmeze tu.kwa idea yako hii maana yake hamna haja ya watu hata kwenda vyuoni
acha upumbavu mzee
Hata mwalimu huwa anacopy kwenye vitabu ila ana mchango mkubwa katika maendeleo ya mwanafunzi
Halafu sio kila mtu ana hobby ya kusoma, wengine wanajifunza effectively kwa kusikia na vitendo
Wavivu wavivu kama wewe msiotaka kujifunza wenyewe ndio mtaji mkubwa kwa hao Motivation speakers.