Jogging pembeni ya barabara zinagharimu UHAI

Mkuu,

Kuongezea ushauri uende pia kwa mamlaka za barabara ili kuwe na njia tofauti za waenda kwa miguu.
 
Kwa wenzetu Wana pedestrian road(barabara za watembea kwa miguu),na most of them ziko mbali kabisa na barabara kuu,na nyingi zimewekea uzio wa chuma,nothing can cross over,hii ni safe hata kuvaa [emoji442] kwa kua unamkwepa/au mnakwepana na binadam wenzako au pet's si magari.
Kingine asubuhi na jioni ni rush hours kila mtu anawahi either sehemu ya kazi au nyumbani,zaidi kwenye miji mikubwa kwa hiyo si salama kufanya mazoezi sehemu hizi.
Ushauri,ukiweza kwenda kwenye kiwanja Cha mpira/basketball/netball au kama una nafasi kwako fanyia mazoezi humo ukiwa na [emoji442] kwa kujiachia kabisa,au barabara za mitaa.
Na kikubwa kabisa ni Kumuomba Mungu Atulinde katika kila tufanyalo.
 
Tena Maulidi Kitenge, jeshi la polisi na wenzie waonywe.
Viwanja vya mipira ni vingi sna. Sehemu za wazi ni nyingi sna na mapori Tz ni mengi sna ya kufanyia mazoezi. Pia madaktari hushauri watu kufanyia mazoezi chumbani au sebuleni.

Wana leta Jams ktk barabara kisa kupata Sifa tu.
 
Hii story haihusiki na mada iliyo mezani
 
Mimi siamini kama wote wanaokimbia Barabarani wana show off, pia siamini mtu kwenda barabarani kulimbia 10 min.
Mtu mwenye lengo la dhati la kufanya mazoezi hawezi kufanya hayo unayoyasema.

Kuhusu kukimbia uwanjani pia sikatai lkn kukimbia ni maisha ya kila siku kwa kina sie, je kila siku tutakimbia uwanjani? Jibu ni hapana kwa sababu kukimbia katika mazingira ya aina moja yanachosha. Kuna watu wanakimbia 3hrs- 12hrs, how can u manage kukimbia masaa hayo kwenye eneo moja!

Explore kbl ya kuongea bro!!
 
Mtu akikimbia barabarani aache wosia nyumbani kuepusha ndugu kugombania sabufa na TV nk.
Na aandike anazikwa mjini au anaenda kuzikwa kwao shamba na aache pesa ya mazishi yake?!?
Na kama ana mke aseme kabisa mkewe aolewe na nani?
 
Kama unaweza bora ukimbie kwenye uwanja maalumu kama wa mpira, ulio karibu na makazi yako...ukiachana na ajali
huo moshi unaovutwa na wanamazoezi huku wanapumulia mdomo ni janga lingine
Open space zote tulishaziuza michezo sio kipaumbele chetu,
 
inaonekana una uelewa mdogo sana wa kufikiri, ngoja nikuache binti yangu
 
Kimbia in opposite direction na uelekeo wa magari,,kaa upande wa magari yanayokuja mbele yako
Hiyo pia ni moja ya Sheria za barabarani kwa watembea kwa miguu. Ila ndio hivyo tena, watu hawajali.
 
pole.Hakika si nzur kiafya tunafanyaga tu ila hatari ni nyingi hata moshi wa magari .
 
Acha tupunguepungue tumekuwa wengi mno hadi ukisikia kuna interview ya kazi unaogopa kwenda, nafasi moja ya kz waombaji 1000
 
Ndani ya mwezi mmoja nimesikia matukio mawili moja limepelekea kupoteza maisha Kigamboni. Mmoja bodaboda imebeba geti ikamzoa, mwingine juzi nimesikia kagongwa na gari Ungindoni sijui anaendeleaje.
Ndiyo mfanyakazi wa azania bank
Mdada

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…