Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usizikod appartment kamjengengee mama jonii~Joh Makini...tuliza kine.mbeJoh Makini amepanga Changanyikeni, nyuma ya UDSM. Jamaa ananisikitisha sana kwa mtu kama yeye kupanga chumba kimoja tu.
Hapo hapo chumbani anapikia kaweka ndoo za maji na vyombo vyake. Ifike mahala apange walau vyumba viwili.
Joh Makini anaendesha Starlet baada ya kuuza ile Mazda, basi ni bora auze hiyo starlet kwa milioni tano au sita akatafute kiwanja chake hata chamazi au chanika aanze kujenga nyumba yake taratibu.
Kweli hip hop hailipi, yani miaka yote aliyofanya music bado anaishi chumba kimoja???
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Humu ndani naona kuna watu wenye haki ya kujadiliwa kama wema, aunt ezekiel n.k lakini wakijadiliwa wengine basi mleta mada ataambiwa kaingilia personal life.
Humu ndani kuna wenye haki ya kupost umbea wowote hata usiokuwa na mashiko lakini akipost mwingine ataambiwa ni ......
Kazi kweli kweli
Joh Makini amepanga Changanyikeni, nyuma ya UDSM. Jamaa ananisikitisha sana kwa mtu kama yeye kupanga chumba kimoja tu.
Hapo hapo chumbani anapikia kaweka ndoo za maji na vyombo vyake. Ifike mahala apange walau vyumba viwili.
Joh Makini anaendesha Starlet baada ya kuuza ile Mazda, basi ni bora auze hiyo starlet kwa milioni tano au sita akatafute kiwanja chake hata chamazi au chanika aanze kujenga nyumba yake taratibu.
Kweli hip hop hailipi, yani miaka yote aliyofanya music bado anaishi chumba kimoja???
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Acha uongo,,, joh makini amepanga nyumba nzima na wanaishi jirani na peter msechu na ni majirani zangu. Usiongee ulichosikilizishwa.
Humu ndani naona kuna watu wenye haki ya kujadiliwa kama wema, aunt ezekiel n.k lakini wakijadiliwa wengine basi mleta mada ataambiwa kaingilia personal life.
Humu ndani kuna wenye haki ya kupost umbea wowote hata usiokuwa na mashiko lakini akipost mwingine ataambiwa ni ......
Kazi kweli kweli
Hayakuhusu mkuu.
Acha hizo wewe,joh n jirani yangu hom arusha daraja 2,kwao pako vizuri si kitoto wana mjengo wa maana
strange, aaah?Kama ni kweli basi noma sana,Joh kabisa mzee wa Hiphop inayouza 'mainstream' aishi maisha hayo?Na ukichukulia kaanza kuhit mda mrefu na hajawahi kupotea.Ntasikitika kama ntathibitisha hii habari ni ya kweli.Kama mainstream anakuwa hivi je wale wenzangu wakina Nash MC wa kutembeza CD kwenye kibegi watakuwaje?