Joh Makini unatia aibu

Joh Makini unatia aibu

mwache na simple life yake huwez kujua huku Arush ana nn DAR huko ni ofis tu kwake ni huku kaskazini... Joh Ndo maana akajiita mwamba wa kaskazn... kwao n sinon daraja2.
 
Humu ndani naona kuna watu wenye haki ya kujadiliwa kama wema, aunt ezekiel n.k lakini wakijadiliwa wengine basi mleta mada ataambiwa kaingilia personal life.
Humu ndani kuna wenye haki ya kupost umbea wowote hata usiokuwa na mashiko lakini akipost mwingine ataambiwa ni ......
Kazi kweli kweli
 
Joh Makini amepanga Changanyikeni, nyuma ya UDSM. Jamaa ananisikitisha sana kwa mtu kama yeye kupanga chumba kimoja tu.

Hapo hapo chumbani anapikia kaweka ndoo za maji na vyombo vyake. Ifike mahala apange walau vyumba viwili.

Joh Makini anaendesha Starlet baada ya kuuza ile Mazda, basi ni bora auze hiyo starlet kwa milioni tano au sita akatafute kiwanja chake hata chamazi au chanika aanze kujenga nyumba yake taratibu.

Kweli hip hop hailipi, yani miaka yote aliyofanya music bado anaishi chumba kimoja???

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
usizikod appartment kamjengengee mama jonii~Joh Makini...tuliza kine.mbe
 
Last edited by a moderator:
Humu ndani naona kuna watu wenye haki ya kujadiliwa kama wema, aunt ezekiel n.k lakini wakijadiliwa wengine basi mleta mada ataambiwa kaingilia personal life.
Humu ndani kuna wenye haki ya kupost umbea wowote hata usiokuwa na mashiko lakini akipost mwingine ataambiwa ni ......
Kazi kweli kweli

Nashanga!!tena atuambie ana chup.I ngapi
 
Joh Makini amepanga Changanyikeni, nyuma ya UDSM. Jamaa ananisikitisha sana kwa mtu kama yeye kupanga chumba kimoja tu.

Hapo hapo chumbani anapikia kaweka ndoo za maji na vyombo vyake. Ifike mahala apange walau vyumba viwili.

Joh Makini anaendesha Starlet baada ya kuuza ile Mazda, basi ni bora auze hiyo starlet kwa milioni tano au sita akatafute kiwanja chake hata chamazi au chanika aanze kujenga nyumba yake taratibu.

Kweli hip hop hailipi, yani miaka yote aliyofanya music bado anaishi chumba kimoja???

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Huu ni uongo.
 
Last edited by a moderator:
Hata kama amepanga chumba kimoja, sioni ubaya. Hajaoa, hana familia, nyumba nzima ya nini? Au unataka kuishi nae?
 
Hata mimi nikiwa na kazi ya muda mrefu mbali na home,napanga ka chumba kamoja, mbona wabunge wa bunge la katiba nao wanapanga chumba kimoja tena wanashea, makini yuko dar kikazi zaidi,kama anatumia asilimia sabini ya siku za mwaka AR,bangaluu la nini?
 
Baada ya free p alikuhonga nn ilhal ana chumba kimoja?? Na wewe lofa uka zuzuka na usanii kumbe magetto, m hayanihusu maisha yake ila ulshachezea dudu weuwee
 
Acha uongo,,, joh makini amepanga nyumba nzima na wanaishi jirani na peter msechu na ni majirani zangu. Usiongee ulichosikilizishwa.

Kaleta tu hi habari kwa personal bifu zake sasa alitaka apange nyumba nzima kufirahisha watu sasa ndo tatizo la Watanzania wanataka mtu aishi watakavo we mleta mada kila mtu na life lako unaweza ukakuta kajenga sehemu nyingine
 
Wabongo shida kweli,kama mtu anaishi peke yake na ni msanii( wikiendi nyingi yuko kwenye show) kuna haja gani ya kupanga nyumba kubwa.
 
Joh namwaminia sema wengne wote ila Joh anafaham anachokifanya wala c o kwel kua mzik haumlip. acha kukariri ww lofa
 
Kahama lini sinza bwana rapture? Mara ya mwisho kumsoma alikuwa maeneo ya sinza mori!!

Sent from my White Berry using JamiiForums
 
Kama ni kweli basi noma sana,Joh kabisa mzee wa Hiphop inayouza 'mainstream' aishi maisha hayo?Na ukichukulia kaanza kuhit mda mrefu na hajawahi kupotea.Ntasikitika kama ntathibitisha hii habari ni ya kweli.Kama mainstream anakuwa hivi je wale wenzangu wakina Nash MC wa kutembeza CD kwenye kibegi watakuwaje?
 
Humu ndani naona kuna watu wenye haki ya kujadiliwa kama wema, aunt ezekiel n.k lakini wakijadiliwa wengine basi mleta mada ataambiwa kaingilia personal life.
Humu ndani kuna wenye haki ya kupost umbea wowote hata usiokuwa na mashiko lakini akipost mwingine ataambiwa ni ......
Kazi kweli kweli

Samtymz nawashangaa sana watu wa jukkwaa hili
 
Acha hizo wewe,joh n jirani yangu hom arusha daraja 2,kwao pako vizuri si kitoto wana mjengo wa maana
 
Kama ni kweli basi noma sana,Joh kabisa mzee wa Hiphop inayouza 'mainstream' aishi maisha hayo?Na ukichukulia kaanza kuhit mda mrefu na hajawahi kupotea.Ntasikitika kama ntathibitisha hii habari ni ya kweli.Kama mainstream anakuwa hivi je wale wenzangu wakina Nash MC wa kutembeza CD kwenye kibegi watakuwaje?
strange, aaah?
 
Back
Top Bottom