Hesabu haichoshi inarahisisha na kila siku unavyoamka na kufanya shughuli zake za kila siku unafanya hesabu kila dakika - Maths is the language of natureMambo ya hesabu tuwaachie wenyewe, mimi sihitaji kuchosha ubongo wangu kizembe.
Kuanzia hesabu zote ngumu tukiachana na + - × / zote zinazo bakia mpaka leo hazijanisaidia chochote maishani, hadi najiuliza ilikuwaje nikakomaa na vitu vya hovyo namna hiyo.Hesabu haichoshi inarahisisha na kila siku unavyoamka na kufanya shughuli zake za kila siku unafanya hesabu kila dakika - Maths is the language of nature
Isingekuwa hesabu kitu ambacho unatumia sekunde ungekuwa unatumia miaka; Au ungeweza kujikuta unanunua maji ya nusu lita sababu ni miatano na unajiona mjanja ume-save wakati kumbe kwa Tshs 700 ungepata lita moja
- Managing money
- Shopping for the best price
- Preparing food
- Figuring out distance, time and cost for travel
- Understanding loans for cars, trucks, homes, schooling or other purposes
- Understanding sports (being a player and team statistics)
- Playing music
- Baking
- Home decorating
- Sewing
- Gardening and landscaping
chochote unachotumia, ujenzi na maisha yako yote ni hesabu, na hesabu unazoita ngumu zinakusaidia mfano unadhani kipi rahisi kuchukua uzi na kupima mzunguko wa uwanja wa mpira au kujua tu kipenyo chake na kutumia 2 x 3.14 x D kujua huo mzunguko ? Au kufanya pata potea ya kununua vifaa vya banda lako la kuku au kufanya hesabu na kujua kabisa kabla mahitaji hivyo kuachana na hii biashara sababu banda pekee litachukua pesa ambayo haitarudi kamwe....Kuanzia hesabu zote ngumu tukiachana na + - × / zote zinazo bakia mpaka leo hazijanisaidia chochote maishani, hadi najiuliza ilikuwaje nikakomaa na vitu vya hovyo namna hiyo.
Naamini nafanikisha mambo mengi kupitia ujuzi wa kuzaliwa na siyo hayo mahesabu ya darasani.chochote unachotumia, ujenzi na maisha yako yote ni hesabu, na hesabu unazoita ngumu zinakusaidia mfano unadhani kipi rahisi kuchukua uzi na kupima mzunguko wa uwanja wa mpira au kujua tu kipenyo chake na kutumia 2 x 3.14 x D kujua huo mzunguko ? Au kufanya pata potea ya kununua vifaa vya banda lako la kuku au kufanya hesabu na kujua kabisa kabla mahitaji hivyo kuachana na hii biashara sababu banda pekee litachukua pesa ambayo haitarudi kamwe....
Kila kitu unachokiona kikubwa kimejengwa na misingi ni kama unasema huoni faida ya Cell kwenye mwili wakati cell ndio building blocks
MT 101Wanasema wengi waliona Tofaa inaanguka ila mmoja (wachache ndio waliuliza kwanini) - Ingawa hizi story huwa zina chumvi nyingi na uongo wa hapa na pale lakini hii ya Gauss inafurahisha
Katika miaka ya 1780 mwalimu wa shule huko Ujerumani ili wanafunzi wake wakae kimya kwa muda wa kama nusu saa aliwapa kazi ya kujumlisha nambari 100 za kwanza (idadi ya namba zote 1 mpaka 100).
Ingawa kusudi la mwalimu lilikuwa wanafunzi wakae kimya lakini mwanafunzi mdogo kabisa akatoa jibu mara moja : 1 + 2 + 3 + ... + 98 + 99 + 100 = 5,050.
Gauss hakuwa mpiga hesabu ambaye alijumlisha namba zote hizo kichwani mwake. Alikuwa na ufahamu wa kina zaidi: Ikiwa "unakunja" mfululizo wa nambari katikati na kuziongeza kwa jozi (pairs)...; 1 + 100, 2 + 99, 3 + 98, na kadhalika-jozi zote zinafikia 101. Kuna jozi (pairs) 50 kama hizo, na hivyo jumla kuu ni 50 × 101 tu. Fomula ya jumla zaidi, kwa orodha ya nambari zinazofuatana kutoka 1 hadi n, ni n(n + 1)/2.
If you "fold" the series of numbers in the middle and add them in pairs—1 + 100, 2 + 99, 3 + 98, and so on—all the pairs sum to 101. There are 50 such pairs, and so the grand total is simply 50×101.NB: Badala ya kukariri formula ili uweze kuitumia na kupata jibu, vichwa vya kweli vinatengeneza formula baada ya kupata swali ili kurahishisha kupata jibu - Sadly vichwa kama hivi are no longer in production....
The more general formula, for a list of consecutive numbers from 1 through n, is n(n + 1)/2.
Hata ukizaliwa kupiga tambo moja mpaka lingine ni hesabu (Mwewe anavyochukua kifaranga ni hesabu)Naamini nafanikisha mambo mengi kupitia ujuzi wa kuzaliwa na siyo hayo mahesabu ya darasani.
Ndugu asante sana kwa mchango wako, baki na mtazamo wako nibaki na wangu.Hata ukizaliwa kupiga tambo moja mpaka lingine ni hesabu (Mwewe anavyochukua kifaranga ni hesabu)
Pili haimaanishi sababu sio wewe uliyegundua kwamba kila mduara ukigawa mzunguko na kipenyo unapata 3.14159 haimaanishi haunufaiki na ugunduzi huu.
Ingawa haumtambui Shannon "father of information theory" and the man who laid the foundations of the Information Age.Haimaanishi hunufaiki na Information Technology...
Umenikumbusha jalalani first year.MT 101
Zimekusaidia sana maishani mwako bila wewe kujua.Kuanzia hesabu zote ngumu tukiachana na + - × / zote zinazo bakia mpaka leo hazijanisaidia chochote maishani, hadi najiuliza ilikuwaje nikakomaa na vitu vya hovyo namna hiyo.
Unataka kuniambia kichwa changu kimeyumba kama beseni la Dstv?Zimekusaidia sana maishani mwako bila wewe kujua.
Mfano hapo ulipo andika kuna hesabu zimetumika.
Sema wewe ndiyo haujatumia akili yako kuzitumia. Ila kuna waliotumia akili yao kufanya kitu kilicho kusaidia.
Hapana.Unataka kuniambia kichwa changu kimeyumba kama beseni la Dstv?
Kabisa mkuuUmenikumbusha jalalani first year.
Foundation of Mathematical Analysis
Hapo umeeleweka ndugu.Hapana.
Sijamaanisha hautumii akili.
Nimekataa kusema Ile mihesabu migumu haijakusaidia.
Imekusaidia na inakusaidia Sana hata sasa na kesho. Isipokuwa wewe hukutengeneza na kubuni haya mavitu ya teknolojia kupitia zile hesabu.
Kuna wengine wamebuni na kutengeneza mavitu ya high tech wewe na mimi tunavitumia vinatusaidia, hapo sasa tunasema yale mahesabu yametusaidia.
Mwalimu wa hili somo alikua na sura persono alafu ye mwenyew anajiweka persono...ilikua ntiti hapo yombooMT 101
Chuo gani mkuu?Mwalimu wa hili somo alikua na sura persono alafu ye mwenyew anajiweka persono...ilikua ntiti hapo yomboo