I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Lakini hata kwenye mitihani ungeulizwa nani aligundua mt Kilimanjaro ungeandika jina la huyu jamaa πYaani wenyewe Wachaga hawakuwa na macho, mxiiiiuuu, wamegundua wkt watu wapo hapo hapo.
Watu weupe wana propaganda flani za kiajabu ni kweli yaweza kuwa whiteman wakwanza kufika eneo fulani ila watabadili stori. Hivyo hivyo walifanya kwa ziwa Victoria na zaidi.Mabeberu kutoka Wikipedia wanasema hivi.
Johannes Rebmann (January 16, 1820 β October 4, 1876) was a German missionary, linguist, and explorer credited with feats including being the first European, along with his colleague Johann Ludwig Krapf, to enter Africa from the Indian Ocean coast
. In addition, he was the first European to find Kilimanjaro.[1] News of Rebmann's discovery was published in the Church Missionary Intelligencer in May 1849
Hii mada yako reference yako sijui wapi inayodai kuwa yeye ndie aliegundua mlima Kilimanjaro.
Siyo propaganda,huwa wanajiona wao ni watu na wewe ni mnyama anaefanana na waoWatu weupe wana propaganda flani za kiajabu ni kweli yaweza kuwa whiteman wakwanza kufika eneo fulani ila watabadili stori. Hivyo hivyo walifanya kwa ziwa Victoria na zaidi.
Mkuu,History imejaa uwongo mno yaani unasoma kitu hata akili ina kataa kukubali
kuna vitu hutakiwi hata kuvisoma au kutaka kujua maana vinachafua moyo sanaNi maajabu sana. Kulingana na machapisho mbalimbali mlima maarufu unaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 3 million iliyopita hakuna mkazi yeyote wa aliwahi kujua kuna mlima mrefu kaskazini mwa Tanganyika hata wale wakazi wenyewe hawakujua π.
Johannes Rebmann.
Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na bwana Johannes rebmann ambaye alikuwa mmissionary kutoka Ujerumani mnamo 1848.
Kutokana na bwana huyo aliyekuwa na mwenzake aitwaye Johann Lidwig Krapf, habari ziliweza kusambaa maeneo mengi ya ulaya kuwa kuna mlima wenye kilele cha barafu karibu sana na ikweta. Lakini habari hizo hazikuaminika kwa watu mpaka miaka kadhaa baadae.