TANZIA Johara Mtei, Mke wa Mzee Edwin Mtei na mkwe wa Freeman Mbowe afariki dunia

Ngoja tuone Kama yule mama atatuma salamu za rambirambi kupitia akaunt yake ya huko Twitter [emoji41]
 
Acha akome wakati mnashangilia kifo cha JPM hamkujua wakati wa Mungu unakuja

USSR
Baada ya mazishi ya JPM ,waganga wa Jadi walifanya tambiko la Karne.

🇹🇿 R.i.p mama Mtei
 
Rest in peace mama mtei....polee kwa familia , ndugu,jamaa na marafiki..Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake LIHIMIDIWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…