Johari: Nimeshakua sasa, kiukweli nina kiu ya mume

Alopaswa kuwa nao kama mume wameishaoa. Huyu atatuharibia watoto wetu! kama wenzake wanavyofanya.
 
40 yrs ndo mume wa kumuoa..unless anatafuta ambae ni 60 yrs!
 
Labda kama anataka kulea mbona vijana wako wengi wanahitaji mashugamam
 
Johar kwa muda sasa amekuwa akilialia kuwa anahitaji Mume,huenda hapa JF akapatikana wa kumuoa.....nilishawah kuona akinukuliwa na EATV na EA-RADIO akisema anatafuta MUME
 
Kwa tangazo lake hili mimi naona bado hajielewi. Hakuna mwanaume - walio wengi - anayeoa bila kuangalia historia ya muolewaji.
 
Kweli majuto ni mjukuu....
Yaani huyu keshakua ajuza, ndipo anakumbuka shuka wakati kumesha pambazuka[emoji47] [emoji47]
 
Akaamulize JN aka mama wawili mbinu za kivita ili na yeye ajipatie kikongwe wake.
 
Nashindwa kuwaelewa hawa...
wengi wao ujana wanautumia vibaya tena wanamaliza uchafu wote....
wakichokwa ndio wanaanza nyimbo....
na kuzaa zaa ovyo.... kwani huwa hawasomi alama za nyakati,?
Ulimbukeni wa ustar unawazuzua maskini....
 
U know ,,,with lemu bebez from Tz...' Le Ngozi soft...: nakupenda mpaka naumwa ...
 
Ukiona baba mtoto wake hajamuoa ujue kuna namna hapo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…