Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ni mengi...mara Rayhahaahaaa!nliskiaga tetesi Ila sikuzitilia maanani!
baba wa mtoto ni nani?!
hongera zakeManeno ni mengi...mara Ray
Ila kikubwa ni kwamba ana mtoto...
Johar kwa muda sasa amekuwa akilialia kuwa anahitaji Mume,huenda hapa JF akapatikana wa kumuoa.....nilishawah kuona akinukuliwa na EATV na EA-RADIO akisema anatafuta MUME![]()
Msanii wa filamu, Johari Chagula amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa ana kiu yakumpata mume sahihi ambaye ataingia naye kwenye maisha ya ndoa.
Mwigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja, amesema umri wake kwa sasa unamruhusu kuingia kwenye maisha ya ndoa
“Mimi ni mwanamke kamili, ni mtu mzima. Nimeshakuwa sasa, kwahiyo kiukweli nina kiu ya mume,” Johari aliliambia gazeti la Mtanzania. “Mungu akinipa mume bora, nitaolewa. Sitaki kuzungumzia sana mambo yaliyopita, lakini muhimu kwa sasa ni mume,”
Mbali na hayo mwingizaji huyo amewataka kukaa mkao wa kula kwa ajili ya filamu yake mpya ambayo amewashirikisha wasanii wachanga kutoka mkoani Mwanza.
Acha tu.hongera zake
ana laana ya MacDonald yule walimtapeli na ray wake yule kaka alimpendaga sana basi tu!
halafu yule kaka alioa bonge la shereheAcha tu.
Laana ya yule kaka itamtafuna milele!
Usiniambie?[emoji134][emoji134]halafu yule kaka alioa bonge la sherehe
kaoa km watoto hata wawli sa hv!!Usiniambie?[emoji134][emoji134]
Yeye akabaki kumng'ang'ania Ray...
Sasa hivi anatafuta mume.
Karma...