Johari: Nipate mume yeyote, kigezo ni awe anapumua

Huyu bado hajaolewa tu?!
Nilianza kumuona zamani kwenye maigizo na Kanumba na Ray!
Nilianza kumuona akiigiza na Mzee small kwenye ,50 -50 ,100.


Then akafanya kifo haramu na j plus (Jimmy mponda) .
Kabla hajasajiliwa na kaole Sanaa group Kwa igizo la fukuto.
 
Nipeni namba yake jamani nipate mke
 
Muigizaji Johari Chagula ameshea nasi vigezo vya mwanaume anayetaka kufunga nae ndoa sababu ni jambo ambalo amekua analiomba kwa muda mrefu.
Your browser is not able to display this video.
 
Mbona kama kuna kitu alikuwa anakielezea ndio ikachomekewa hiyo mada

After all kuolewa au kuoa sio kupata.
 
Akithubutu kutuwekea km zake za ukweli, sisi wengine tuko tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…