Johari: Nipate mume yeyote, kigezo ni awe anapumua

Johari: Nipate mume yeyote, kigezo ni awe anapumua

Sasa unataka nikatae mkuu, nimekwishatumiaga miaka hiyofano mwaka huu toka uanze sijashika kijiti kabisaaa.

Ujana una mengi, na vingi tushavifanyaga.
Aaaaaah aiseeee ...
Unakili kabisa mkuu
 
Nilianza kumuona akiigiza na Mzee small kwenye ,50 -50 ,100.


Then akafanya kifo haramu na j plus (Jimmy mponda) .
Kabla hajasajiliwa na kaole Sanaa group Kwa igizo la fukuto.
Bro naweza kuipata muvi ya kifo Haramu ya Jimmy Mponda?
 
Namba B.... Vijana fursa hiyo. Hamna vigezo wala masharti
 
Back
Top Bottom