Johari: Nipate mume yeyote, kigezo ni awe anapumua

Johari: Nipate mume yeyote, kigezo ni awe anapumua

"Mwanamke yeyote ndoto yake kubwa kuwa na Mume, katika maombi yangu yote hilo naliomba sana lakini siwezi kumpangia Mungu atayajibu lini".

"Mkisikia natangaza harusi mjue maombi yamejibu, nipate mwanaume yeyote ili mradi TU awe anapumua" - Muigizaji Johari

View attachment 3312402
Chanzo: EATV
Ana bikra zote kweli huyu??👿
 
Mpaka maombi ulikuwa wapi
 
Johari njia panda.

Steven kanumba,& Ray kigosi.

Mambo yatajipa Dada Yangu, life full of surprise.
 
Iheme Nancy.

Muigizaji wa Nigeria,

Nigeria actress.

Yeye juzii anohojiwa anasema amemukataa Kijana wa miaka 40 aliyetaka kumuoa.

Iheme Nancy anasema kijana Hana nyumba, hana gari, hana investment, Nini anataka kama sio criminal/laghai/haini.

Iheme anaendelea , "Mimi nataka Mtu anayejiweza na anayenizidi Kila eneo/angle ya Maisha"
 
Iheme Nancy
 
Attachments

  • 19240982_img5278_jpeg12404e41d4bd96e98cd27489936b9fd9 (2).jpeg
    19240982_img5278_jpeg12404e41d4bd96e98cd27489936b9fd9 (2).jpeg
    46.1 KB · Views: 23
  • images - 2025-04-28T033646.028.jpeg
    images - 2025-04-28T033646.028.jpeg
    39.7 KB · Views: 30
  • images - 2025-04-28T033845.811.jpeg
    images - 2025-04-28T033845.811.jpeg
    31.3 KB · Views: 23
  • images - 2025-04-28T033654.716.jpeg
    images - 2025-04-28T033654.716.jpeg
    52.2 KB · Views: 20
Back
Top Bottom