Kimwagacampus729
Member
- Sep 28, 2024
- 66
- 46
Hapo Anataftwa mume au Pambo?"Mwanamke yeyote ndoto yake kubwa kuwa na Mume, katika maombi yangu yote hilo naliomba sana lakini siwezi kumpangia Mungu atayajibu lini".
"Mkisikia natangaza harusi mjue maombi yamejibu, nipate mwanaume yeyote ili mradi TU awe anapumua" - Muigizaji Johari
View attachment 3312402
Chanzo: EATV
Du! Hata kama ni Diamond au Mwijaku? Ukiona hivi, jua siku zinaenda.Muigizaji Johari Chagula ameshea nasi vigezo vya mwanaume anayetaka kufunga nae ndoa sababu ni jambo ambalo amekua analiomba kwa muda mrefu.
View attachment 3312507
Mechi inaelekea ukingoniDk za jioooooooooooooniiiiiii...... ndio wanaukubali ukweli.
Hii no speed,toa hiyo ph, inaelekea ulikua kilaza sana wa hesabu darasani500000 kph
Nfatilia san comment zako..Kupumua kisogoni au kupumua wapi?
Makaveli kuna watu jukwaa la dini wanabishana et wanasema umehifadhi masaafu nzima kichwani...Anapata tabu ya nini, mwambieni aje kwa MAKAVELI
Ushamaliza research kwanzaMwenye namba zake naenda kujilupua niombeeni
40+yrsMileage inasoma ngapi
500,000kmMileage inasoma ngapi
Mchukue Dudu baya"Mwanamke yeyote ndoto yake kubwa kuwa na Mume, katika maombi yangu yote hilo naliomba sana lakini siwezi kumpangia Mungu atayajibu lini".
"Mkisikia natangaza harusi mjue maombi yamejibu, nipate mwanaume yeyote ili mradi TU awe anapumua" - Muigizaji Johari
View attachment 3312402
Chanzo: EATV
Hapana, sijahifadhi yote, nimeisoma yote na kuhifadhi sehemu tu ya msahafu.Makaveli kuna watu jukwaa la dini wanabishana et wanasema umehifadhi masaafu nzima kichwani...
Umemuelewa lakini,amesema uwe unapumua tu mambo ya mahari achana nayoUjana ale na mwingine
Mahari atoe mwingine