Johari: Nipate mume yeyote, kigezo ni awe anapumua

Maisha ni mechi isiyo na sare fainali iko uzeeni,amerukaruka kakumbuka shuka kumekucha
 
The wall is undefeated once again
 
Kuna mada kule kuhusu nabii isa sijui kazaliwa wapi..,
Mambo ya israel na gaza
Sijaona huo uzi na kuna vitu huwa havinishughulishi sana.. mfano ni hiyo issah kazaliwa wapi, iwe kwenye mtende ama zizini, kipi kinabadilika?
Swala la israel lazima ujue zionists ni kina nani, jews ni watu gani na mengineyo, 1947 ilikuwaje kuwaje na mengineyo.
Je ni suala la uislamu na ukristo ama ni zaidi ya hapo?

Ukitaka uelewe zaidi uwe neutral..
Ukweli uwe mchungu kumeza na mtamu kutema.
 
Sema mkuu upo vizr sana umeiva kwa dini japo kwa juu juu kama una usela usela.mwingi hvi ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Nilianza kumuona akiigiza na Mzee small kwenye ,50 -50 ,100.


Then akafanya kifo haramu na j plus (Jimmy mponda) .
Kabla hajasajiliwa na kaole Sanaa group Kwa igizo la fukuto.
Dah.! 50-50, 100 kitambo sana iyo sikujua kama Johari alikuwepo mule. Mimi nimeanza kumjua yupo Kaole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ