makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Aaaaaah aiseeee ...
Unakili kabisa mkuu
Nahitaji namba wadau tumalize jambo haiwezekani mwanamke anataka mume akose na mie nipomzabzab fursa hio
hadi meter ishachoma, haihesabh tena kmsMileage inasoma ngapi
Bro naweza kuipata muvi ya kifo Haramu ya Jimmy Mponda?Nilianza kumuona akiigiza na Mzee small kwenye ,50 -50 ,100.
Then akafanya kifo haramu na j plus (Jimmy mponda) .
Kabla hajasajiliwa na kaole Sanaa group Kwa igizo la fukuto.
Hilo ni funbo au tafsida?hapo kwenye kupumua ndo fumbo atakayelifumbua anachuka jiko
Fursa hio Kazi kwenyu lo
Kwahiyo kama ni yeyote kwa akili yako unafikiri hajawahi kutana na kuchumbiwa ama kutongozwa na yeyoteHilo ni funbo au tafsida?
Kupumua maana yake 'hai' au yeyote kamaanisha.
Kuna mtu anathubutu?Kwahiyo kama ni yeyote kwa akili yako unafikiri hajawahi kutana na kuchumbiwa ama kutongozwa na yeyote
Hahaha hapana...Fursa hio Kazi kwenyu lo
Wee si unafumuaa hata mashangazi lo kwani kuna mwongozo!!???πππHahaha hapana...
Nimeacha, nakufumua wewe tu...Wee si unafumuaa hata mashangazi lo kwani kuna mwongozo!!???πππ