La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,049
- 1,160
Hivi jamani warumi huyo sintah ndio katufanyia nini kwenye hicho kiblog chake?kila nikitaka kuingia naambiwa sijui makitukitu gani....aaaarrrgggg
Aiseeeee
Ngoja azae cku akimwagwa cjui itakuwaje
Ni sheeedah alafu huyo ray c anajishaua nae anataka mtoto....
Nisaidie binamu, ana uzur gan yule kasuku? Uko nyuma flatscreen la maana, miguu kama ufito wa genge, kichwa kama kagongwa na boda boda, kembamba kama mti wa nsumbo, weupe tu unamsitir angekuwa mweus yule
Johari kila siku yeye wapi jamani???Huyo Johari ifike kipindi akubali kushindwa, kila siku yeye mbona mwenzie hatumsikii kuongea.
kwani si alisema anataka mtu mzma aka mbabu wa kuolewa nae......kwani hajampata tu tangu ajitangaze amzalishe.......lkn bora ajizalie maana umri nao unasogea kama kunywa maji
Me mpaka naumwa..maana Sintah Blog ni moja ya viburudisho vyangu
Nani amtake saa hizi kawa jishangingi...angesema zamani ile watu wangemgombania...
Haaaaaaa....ndo yale wanasemaga unaringa weeeeeeee....ukijakushtuka ushazeeka ...aka watu washakuchoka kukuona
Nakuambia mimi niko mahututi hapa,ukiweza kuingia uniambie na mimi mwaya nijaribu
Nilidhani mimii kumbe nawe hivyo hivyoo eti uandike barua pepe na email au kafungiwaaa
Nisaidie kushangaa
Johari hicho kimbilimbi cha Ray kilikukuna sanaaa eeeeee,maana chuchu sijawah msikia akiongea chochoteee
Mbilimbi za wagogo ni hatari sana nasikia. Mwache Johari ajutie kukikosa hahaa
nakuambia mimi niko mahututi hapa,ukiweza kuingia uniambie na mimi mwaya nijaribu
nilidhani mimii kumbe nawe hivyo hivyoo eti uandike barua pepe na email au kafungiwaaa
mbilimbi za wagogo ni hatari sana nasikia. Mwache johari ajutie kukikosa hahaa
hahahahaaaaaa kumbe ray mgogo