Johari: Sitaki kusikia habari za Chuchu

Johari: Sitaki kusikia habari za Chuchu

Hivi jamani warumi huyo sintah ndio katufanyia nini kwenye hicho kiblog chake?kila nikitaka kuingia naambiwa sijui makitukitu gani....aaaarrrgggg

Me mpaka naumwa..maana Sintah Blog ni moja ya viburudisho vyangu
 
Last edited by a moderator:
Ni sheeedah alafu huyo ray c anajishaua nae anataka mtoto....

kwani si alisema anataka mtu mzma aka mbabu wa kuolewa nae......kwani hajampata tu tangu ajitangaze amzalishe.......lkn bora ajizalie maana umri nao unasogea kama kunywa maji
 
Nisaidie binamu, ana uzur gan yule kasuku? Uko nyuma flatscreen la maana, miguu kama ufito wa genge, kichwa kama kagongwa na boda boda, kembamba kama mti wa nsumbo, weupe tu unamsitir angekuwa mweus yule

ha ha ha binamuuu una matusi utadhani unaumba wakati hata kinyago cha mtu huwezi kuchonga ha ha ha umemchekesha lol
 
kwani si alisema anataka mtu mzma aka mbabu wa kuolewa nae......kwani hajampata tu tangu ajitangaze amzalishe.......lkn bora ajizalie maana umri nao unasogea kama kunywa maji

Nani amtake saa hizi kawa jishangingi...angesema zamani ile watu wangemgombania...
 
Nani amtake saa hizi kawa jishangingi...angesema zamani ile watu wangemgombania...

Haaaaaaa....ndo yale wanasemaga unaringa weeeeeeee....ukijakushtuka ushazeeka ...aka watu washakuchoka kukuona
 
Nakuambia mimi niko mahututi hapa,ukiweza kuingia uniambie na mimi mwaya nijaribu

Nilidhani mimii kumbe nawe hivyo hivyoo eti uandike barua pepe na email au kafungiwaaa
 
Johari hicho kimbilimbi cha Ray kilikukuna sanaaa eeeeee,maana chuchu sijawah msikia akiongea chochoteee

Mbilimbi za wagogo ni hatari sana nasikia. Mwache Johari ajutie kukikosa hahaa
 
Back
Top Bottom