Johari: Sitaki kusikia habari za Chuchu

Johari: Sitaki kusikia habari za Chuchu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa filamu Bongo, Blandina Chagula ' Johari' amesema kwa sasa hataki kabisa kusikia habari za mwigizaji, Chuchu Hans ambaye wamekuwa wakitifuana mara kwa mara wakidaiwa kugombea penzi la Vincent Kigosi ' Ray ' .

Akikitemea cheche kinasa sauti cha paparazi wetu baada ya kuulizwa kuhusiana na hatma ya malumbano yao ya mara kwa mara na Chuchu, Johari alisema hataki kumzungumzia mwanadada huyo kwani anampaisha bure .

"Nimeamua nikae kimya kabisa wala sitaki kuzozana na mtu nitajishushia hadhi kwa mashabiki wangu bure , siwezi kuwa namnufaisha mtu kwa kumpandisha daraja kupitia mgongo wangu kutokana na malumbano, " alisema Johari.

Attachments

  • 1415600662081.jpg
    1415600662081.jpg
    52.5 KB · Views: 2,255
Alie pewa kapewa, kwani yeye Johari ana lipi kubwa mpaka aweze kumpaisha mtu kupitia mgongoni mwake? Hashuo tuu..

Johari ni staa kuliko chuchu hilo halina ubishi, na johari ana kampuni yake pamoja na ray, so maisha yake yanaenda poa sana, so chuchu hampat johat hata kidogo, johar ni jembe lile halitegemei wanaume linapiga kazi
 
Huyo chuchu ana sura kama kasuku hana uzuri wowote, weupe unamsitir bora ata johar kidog sema nae siku izi hana swaga kazubaa sana ila johar ni kisu , ana sura nzur sema ndo vile
 
Warumi nakubali ila haija khusu yeye kusema mwenzie kua atapata umarufu kupitia mgongo wake
kama jembe atulie kimya,kwani kunyamaza pia neno.........
 
Nilikuwa nakuambia tuh, johari sio wa kumfananisha na chuchu wala muigizaji yeyote apa bongo, demu katulia na anapiga kazi pia ana maisha mazur kuliko hao wanaohangaika kujiuza kwa wanaume ndo waishi
 
Unauhakika gan kama Johari hauzi nyapu?
 
Alie pewa kapewa, kwani yeye Johari ana lipi kubwa mpaka aweze kumpaisha mtu kupitia mgongoni mwake? Hashuo tuu..

hebu tuulize kwanza hana lolote
pooooo ndo ray kashabebwa hivyyooo chezea tanga weyyeeeeeeer mapenzi yalikozaliwa
atabaki hatihati johari la chuchu halipati ng'oooooo
 
Huyo chuchu ana sura kama kasuku hana uzuri wowote, weupe unamsitir bora ata johar kidog sema nae siku izi hana swaga kazubaa sana ila johar ni kisu , ana sura nzur sema ndo vile

johari kwa chuchu atasubiri sannnaaaa
salma mzuri bwanaa
huyo johari km ye hategemei bwana kinachomfanya awayewaye nini
atulize mshono uleeee
watu wanaamka nao tu
 
Johari hicho kimbilimbi cha Ray kilikukuna sanaaa eeeeee,maana chuchu sijawah msikia akiongea chochoteee
 
Johari ni staa kuliko chuchu hilo halina ubishi, na johari ana kampuni yake pamoja na ray, so maisha yake yanaenda poa sana, so chuchu hampat johat hata kidogo, johar ni jembe lile halitegemei wanaume linapiga kazi
kwani hata chuchu si ana company inaitwa 'chura'? anyway kweli johari ni mkongwe lakini kumbuka kinachopiganiwa hapo ni dushelele la ray, sasa kupiga kazi pekee haileti furaha ya kweli mwenzake anamzidi kwa kupiga kazi na dawa, so kwa chuchu imekaa poa zaidi.
 
Huyo chuchu ana sura kama kasuku hana uzuri wowote, weupe unamsitir bora ata johar kidog sema nae siku izi hana swaga kazubaa sana ila johar ni kisu , ana sura nzur sema ndo vile

johari kashafubaa tena sana hana teja ule mvuto wa zamani, na sipokubali matokeo ya kumkosa ray atafulia zaidi? haoni mwenzake mainda alijiongeza akaamua kurudi kundini.
 
kwani hata chuchu si ana company inaitwa 'chura'? anyway kweli johari ni mkongwe lakini kumbuka kinachopiganiwa hapo ni dushelele la ray, sasa kupiga kazi pekee haileti furaha ya kweli mwenzake anamzidi kwa kupiga kazi na dawa, so kwa chuchu imekaa poa zaidi.

Hyo kampuni ya chura ni ya vichochoroni, kampuni ya johari imesajiliwa na ina Tin number, sasa huyo chuchu afikirii watu wameachana ila bado wanafanya kazi pamoja, we muache ajishaue kakimbia ndoa yake anaparamia mabwana za watu, huyo johar kila siku anagongana na ray ndo bwana ake na hakuna asiyejua, crew nzima ya rj inalijua hilo
 
johari kashafubaa tena sana hana teja ule mvuto wa zamani, na sipokubali matokeo ya kumkosa ray atafulia zaidi? haoni mwenzake mainda alijiongeza akaamua kurudi kundini.

Yes johar kachoka sasa ivi, ila chuchu hampati kwa lolote bado mtoto sana kwa johari
 
Nilikuwa nakuambia tuh, johari sio wa kumfananisha na chuchu wala muigizaji yeyote apa bongo, demu katulia na anapiga kazi pia ana maisha mazur kuliko hao wanaohangaika kujiuza kwa wanaume ndo waishi
warumi trust me hata umiliki hahari ya hindi kama swala la mahusiano halijakaa sawa unajihisi huna thamani hata kidogo na ndicho kinachomtafuna johari
 
Chuchu sio mzurii jamaniii labda karangi tu kanamng'arishaa

lakini ray the main character here si ndio ameshazimika kwa chuchu na mpango wa kuzinduka hana? basi johari si atulize mshono jamani, kama uzuri ndio humpa mtu mpenzi, vipi sasa mpaka sasa hanajamove on??
 
Nisaidie binamu, ana uzur gan yule kasuku? Uko nyuma flatscreen la maana, miguu kama ufito wa genge, kichwa kama kagongwa na boda boda, kembamba kama mti wa nsumbo, weupe tu unamsitir angekuwa mweus yule

Hahahahahah,duuh
 
warumi trust me hata umiliki hahari ya hindi kama swala la mahusiano halijakaa sawa unajihisi huna thamani hata kidogo na ndicho kinachomtafuna johari

Kweli kabisa PAULA, hata mimi kuna kipindi niliwahi kupitia hicho unachokisema, mtu akiniona barabaran kwenye gar ananitaman kijana smart ana maisha mazur kumbe moyoni naugua maumivu makali ya mahaba, asikwambie mtu Mapenzi ni kitu kingine ata uwe nani ila kama mahusiano yako hayako poa, basi unajiona huna thaman
 
Back
Top Bottom