Uchaguzi 2020 John Heche aifuta CCM Tarime, hakuna namna Waitara anaweza kuwa Mbunge wa Tarime Vijijini, atavuna alichopanda

Nasikitika hapo mlevi mwenzangu bwana Waitara hana chake.
Tulikuwa tuna lewa naye bar mbalimbali dar na dodoma, sasa lile fungu la kuunga mkono juhudi lilishaisha, kanitenga siku hizi anakunywa gongo, alitegemea hapo jimbon akishinda tuendelee kulewa, duh pigo hili kwa mlevi mwenzangu mwita
 
Majizi, Waiba wake za watu, Walozi, Walawiti, Wabakaji wa "Kijani Kibichi" watapinga na kununa hoyvyo hovyo
 
Daah hizi dharau sasa daah mgombea ubunge anampita nyomi mgombea wake wa urais!!!??
😂😂😂 Labda raia wanaimani na rais wao, Ila mbunge waliekuwa nae ndo walikuwa hawamwelewi🤔?
 
Hata hiyo kajitahidi sana, kazi yake kubwa ni kuikumbusha serikali ilete huduma za msingi kwa wananchi, kwa maana hiyo unasema serikali ya JPM haijafanya lolote katika Kata hiyo.
 
Mbeya mjini, arusha mjini, moshi town, tarime , serengeti, bunda, Hai , kawe wagombea wa ccm watafute kazi za kufanya
 
Hichi ni kiswahili lakini hata sijaelewa maana heche ni mbunge wa huko anayetetea kiti chake
😂😂😂 Labda raia wanaimani na rais wao, Ila mbunge waliekuwa nae ndo walikuwa hawamwelewi🤔?
 
Mimi najua chadema mtapata wabunge wasiozidi 10 na katika hao 10 Heche yumo

Hata walio kuwa wame panga Shambulio la Mh Lissu walikuwa na Mawazo kama ya kwako ,lakini walifeli na sasa yupo juu yao ana wakosesha Usingizi.
 
Makamanda tunaomba tarehe 28 october turudi hapa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…