John Heche anafaa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika ni dhaifu sana

Mchukueni heche awe katibu wa ccm mbona wako wengi tu huko kutoka chadema au tuwape na MBOWE awe mwenyekiti wa ccm chadema ni kiwanda cha viongozi nchi hii ukiacha na ccm iliyojaza wahuni na matapeli na sasa inazalisha viroboto.
 
Naunga mkono hoja maana siasa za Mnyika ni za kistaarabu mno, ukiwa mstaarabu sana watawala wanakuona dhaifu. John Heche naibu Kigaila
 
Hizi ndio nyakati ambazo hata CDM ikifutwa inafutwa tu na hakuna tatizo wala nongwa yeyote maana wafuasi wake wapo bariiiiiiiiiiiiiiidi barafu
Utapiamlo wa akili ni ugonjwa mbaya kabisa kuliko magonjwa yote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…