Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mdude anafaa, au pumbalu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe bila kumpindua hatoki hapoHamna makundi, acheni kuchomekea mambo yasiyokuwepo.
Naunga mkono hoja, mbowe aondolewe. Ikishindikana apinduliwe.Huyu Heche ni mwenyekiti aliyechelewa kuchukua cheo hicho. Nilisema muda mrefu baada ya Mbowe kuchemka kwa kumpokea Lowassa, Heche ndio alipaswa kuchukua cheo hicho.
Huyu mwalimu namkubali. Anaeleza mambo makubwa yanaeleweka kwa level zote .sumu haionjwi zito hakuwa katokea ccm . Aendeleze tu hoja asionje sumu unless mbowe ndo amuonjeshe kwa hiari. Akijichanganya kuonja sumu jasho litamtiriririkaHeche ni Chadema original na ndio maana Mbowe alimteua kuwa mjumbe wa kamati kuu uchaguzi uliopita.
Sumu haijaribiwi ilihusu wale wahamiaji kutoka CCM ambao walikua wanataka Uenyekiti ilihali bado hawakijui vizuri chama.
Chadema tuna discpline hayo ya kupinduana ni huko CCM, CUF, na NCCR ila Chadema hautawahi ona uasi Hadi chama kipasuke kama hivyo vyama vingine.Naunga mkono hoja, mbowe aondolewe. Ikishindikana apinduliwe.
Mbowe angekua uraiani Leo hii kama alimuua Wangwe? Chadema ingeshinda sio tu Jimbo Bali Hadi halmashauri ilihali walitoka kumzika shujaa wao??Yaliyompata Wangwe yawe fundisho kwake.
Bado upo huko? Nshatoka kitambo mie.Mbowe angekua uraiani Leo hii kama alimuua Wangwe? Chadema ingeshinda sio tu Jimbo Bali Hadi halmashauri ilihali walitoka kumzika shujaa wao??
It's unfortunate hizi sopeculations zinatolewa na great thinker
Dadeki juzi nilimsikia akiongea na diaspora anasema ati labda muda wangu wa kuwa mwenyekiti ni mfupi kuliko muda niliokaa. Na nguvu za kuendele kumsikiliza ziliishia hapoMbowe bila kumpindua hatoki hapo
Vumilia tu mkuu.Dadeki juzi nilimsikia akiongea na diaspora anasema ati labda muda wangu wa kuwa mwenyekiti ni mfupi kuliko muda niliokaa. Na nguvu za kuendele kumsikiliza ziliishia hapo
Ndio tuache kuchafuana, hivi kama alisakiziwa anauza madawa na ugaidi na kote huko ikaonekana Hana hatia why serikali isimpe kesi ya mauaji iliyo wazi kabisa kama ya wangwe?Bado upo huko? Nshatoka kitambo mie.
Bila mapinduzi hatoki huyo, shauri zenu. Liundwe kundi maalum kwa ajili ya vuguvugu la kumtoa,. Vinginevyo mtaaubiri sanaChadema tuna discpline hayo ya kupinduana ni huko CCM, CUF, na NCCR ila Chadema hautawahi ona uasi Hadi chama kipasuke kama hivyo vyama vingine.
Kuna dogo alikuwa anazunguka na sumu mfukoni lengo kummaliza Zitto, hiyo nayo mtasema kuchafuana.Ndio tuache kuchafuana, hivi kama alisakiziwa anauza madawa na ugaidi na kote huko ikaonekana Hana hatia why serikali isimpe kesi ya mauaji iliyo wazi kabisa kama ya wangwe?
Anazunguka na Sumu? Yaani propaganda za Zitto ndio basis ya madai Yako? Ben Saanane was a double agent and that's about it Wala sio kwamba alikua na Nia ya kuua otherwise Zitto angemalizwa zamani sana maana enzi hizo alikua threat kwa Both CCM na Chadema.Kuna dogo alikuwa anazunguka na sumu mfukoni lengo kummaliza Zitto, hiyo nayo mtasema kuchafuana.
Uliwahi kuisoma kauli kuwa wakithubutu kumfanyia walivyomfanyia Wangwe hakuna hata panya au mende atakayebaki huko kwao?
Akaenda mbali zaidi akasema "Chacha died, I won't".
Have you forgotten this early! 😆😆
Kama mnavyofahamu Mhe Mbowe alitangaza atastaafu 2023, hivyo basi Mimi kama mwanachama hai wa Chadema naona Heche Sasa anafaa kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Ninaamini ataweza kufanikisha vision ya Mbowe na jamii nzima ya Chadema kufikia malengo yake.
Wala sikumaanisha kuwa "atakolimbwa" na wana Chadema. Umeelewa sivyo.Mbona Lissu ni popular kuliko Mbowe ila sijawahi ona wakikosana au Mbowe kumuundia zengwe!! tuache kujenga picha za ajabu, hayo mambo unaweza fanya ukiwa na serikali ila kwa CCM inavyo operate, kosa dogo kama Hilo Chadema ingeshafutwa zamani sana tokea kifo cha wangwe au Saanane kupotea!!