Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Apewe wewe na uwe mke wake wa PiliChama Cha baba mkwe wa Mbowe, hawezi kukubali, Mbowe alipewa mke pamoja na chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apewe wewe na uwe mke wake wa PiliChama Cha baba mkwe wa Mbowe, hawezi kukubali, Mbowe alipewa mke pamoja na chama
Simaanishi kwamba Zitto ni mwaminifu sana, ninachofahamu ni kuwa waliomuundia zengwe ni ndumilakuwili zaidi yake.Basi, na yaishe, wewe endelea na "imani" yako kwa kiongozi ambaye mimi sioni namna ninayoweza kumwekea imani kama yako katika kusimamia maslahi ya taifa hili.
Upo sahihiHuyu Heche ni mwenyekiti aliyechelewa kuchukua cheo hicho. Nilisema muda mrefu baada ya Mbowe kuchemka kwa kumpokea Lowassa, Heche ndio alipaswa kuchukua cheo hicho.
Nimefuatilia michango yake tokea akiwa diwani huko Tarime mpaka kuwa Mbunge 2015, unaweza kubaliana na Mimi kuwa huyu ni msomi anayejitambua, anajua kujenga hoja, mzalendo haswaa, mtiifu, na misimamo isiyoyumba
Alipokuwa mwenyekiti BAVICHA ndipo tulishuhudia taasisi imara ya vijana iliyozaa wanasiasa wengi makini. Na tokea amalize muda wake Bavicha haikuwahi para mwenyekiti makini level ya Heche.
Ukifuatilia ziara yake Kanda ya kusini unaweza ona ushawishi na spirit aliyonayo kupigania maslahi ya wananchi maskini.
Kama mnavyofahamu Mhe Mbowe alitangaza atastaafu 2023, hivyo basi Mimi kama mwanachama hai wa Chadema naona Heche Sasa anafaa kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Ninaamini ataweza kufanikisha vision ya Mbowe na jamii nzima ya Chadema kufikia malengo yake.

Sasa kama anastaafu manake lazima sumu itakuwa imeisha sumuSumu haijaribiwi kwa kulamba.
Chadema hawana akili hiiWith heche at the helm, utengamano uliopo chadema utapotea, mtaishia kupinduana kama huko nccr.
Si kwakuwa hana uwezo, kuna kakikundi hatari huko tayari kana mtu wao.
Chadema waliodeki barabara mfalme lowasa apite? Au kuna chadema nyingine!Chadema hawana akili hii
Punguza utoto dogo. Hakuna mpinzani mwenye nguvu ya kufanya lolote kama mnavyotaka kupotosha maana ataishia jela.
Yaliyompata Wangwe yawe fundisho kwake.Heche asivimbe kichwa bado mdogo ana familia, alee watoto maana kuacha watoto yatima wakiwa wa dogo si vizuri.
Mkuu unaamini kabisa Mbowe anaweza fanya ufisadi alafu CCM wakamuacha? Kama walikua tayari kumbambikizia ugaidi na drug trafficking charges unadhani wangekua kafanya wizi wa ruzuku asingepewa Money Laundering case na angekua jela mpaka Leo??Simaanishi kwamba Zitto ni mwaminifu sana, ninachofahamu ni kuwa waliomuundia zengwe ni ndumilakuwili zaidi yake.
Zitto akiwa naibu katibu mkuu kaeleza mwenyekiti wake alivyopewa pesa na watu wa ccm mara kadhaa, na mwenyekiti pesa hiyo kuiingiza kwenye chama kama mkopo toka kwake kwa chama, ikiwa pamoja na kutumia pesa ya chama kuanzishia gazeti binafsi.
Tuhuma kama hizo ni nzito sana, he should've come out smart. Kwanini hakuwahi kumshitaki Zitto kwa kumzushia tuhuma nzito hizo, kama si mahakamani basi hata kwenye vikao vya chama?
Ninachoendelea kuamini ni kuwa they are worse than Zitto.
Nimefuatilia michango yake tokea akiwa diwani huko Tarime mpaka kuwa Mbunge 2015, unaweza kubaliana na Mimi kuwa huyu ni msomi anayejitambua, anajua kujenga hoja, mzalendo haswaa, mtiifu, na misimamo isiyoyumba
Alipokuwa mwenyekiti BAVICHA ndipo tulishuhudia taasisi imara ya vijana iliyozaa wanasiasa wengi makini. Na tokea amalize muda wake Bavicha haikuwahi para mwenyekiti makini level ya Heche.
Ukifuatilia ziara yake Kanda ya kusini unaweza ona ushawishi na spirit aliyonayo kupigania maslahi ya wananchi maskini.
Kama mnavyofahamu Mhe Mbowe alitangaza atastaafu 2023, hivyo basi Mimi kama mwanachama hai wa Chadema naona Heche Sasa anafaa kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Ninaamini ataweza kufanikisha vision ya Mbowe na jamii nzima ya Chadema kufikia malengo yake.
Mungu yuko busy na maandalizi ya sherehe ya mwanawe Hana time na wasaliti wa chademaMungu ibariki Chadema