Heche yupo positive Minded, Sina wasiwasi naeHawamjui henche hawa😂🙆♀️,huyo ni zaidi ya Nduli,, mtalia na kusaga meno😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heche yupo positive Minded, Sina wasiwasi naeHawamjui henche hawa😂🙆♀️,huyo ni zaidi ya Nduli,, mtalia na kusaga meno😄
Of Course yupo vizuri .... Lakini bado hanatakiwa. Kukomazwa zaidi ndani ya chama kunawatu bado wana nafaxi nzuri sana, Kuna watu kama
1, Tundu lissu
2,,John mrema
3, John mnyika
4,Wenje..
Na vijana wengine wazuri wenye uwezo wa kujenga hoja na kusimia ipasavyo
Kimsingi heche yupo vzur ila bado anaitaji ukomavu zaidi ya sasa
He is. Vijana waliopikwa na Mwenyekiti wako vizuri sana.Heche yupo positive Minded, Sina wasiwasi nae
Kinachonishangaza tu ni kuoa Kuondoka kwa mbowe wanaofurahia sana ni wanaccm.Kama ana huo uwezo wa kiuongozi atengeneze mazingira ya kumtoa Mbowe kidemokrasia na ayafanikishe. Mbowe ni over stayed mkt na hana mchango mpya wa kiuongozi uliobaki kwa cdm akiwa kama mkt. Abakie kuwa mshauri tu apishe damu mpya.
Bro, unampenda Heche!?
Maana hicho unachosema ni kuhatarisha usalama wa Mwenyekiti wa Maisha.
Dah, Zitto tena?Kulikuwa na ubaya gani kuwaachia wanachama wachague wanayeona anafaa kuwaongoza, si katiba inatamka uongozi ni miaka mitano baada ya hapo mnachaguana tena?
Zitto alizuiliwa kugombea 2010. Si jambo la afya kwa chama kinachojitambulisha kuwa cha kidemokrasia.
Naona hamumtakii mema Heche! kwa kauli zenu hizi muda si mrefu Heche ataingia matatizoni huko CHADEMA! Mtanikumbuka.Japo mimi sio Chadema, lakini naunga mkono hoja, Ili tuwe na CCM imara, tunahitaji opposition imara, Heche ataijenga Chadema imara kuliko hata Chadema hii ya sasa ambayo kiukweli....
P
Nipe sababu niondoe imani niliyonayo kwa Zitto.Dah, Zitto tena?
Wakati huu CHADEMA ingekuwa ni historia!
Nimefuatilia michango yake tokea akiwa diwani huko Tarime mpaka kuwa Mbunge 2015, unaweza kubaliana na Mimi kuwa huyu ni msomi anayejitambua, anajua kujenga hoja, mzalendo haswaa, mtiifu, na misimamo isiyoyumba
Alipokuwa mwenyekiti BAVICHA ndipo tulishuhudia taasisi imara ya vijana iliyozaa wanasiasa wengi makini. Na tokea amalize muda wake Bavicha haikuwahi para mwenyekiti makini level ya Heche.
Ukifuatilia ziara yake Kanda ya kusini unaweza ona ushawishi na spirit aliyonayo kupigania maslahi ya wananchi maskini.
Kama mnavyofahamu Mhe Mbowe alitangaza atastaafu 2023, hivyo basi Mimi kama mwanachama hai wa Chadema naona Heche Sasa anafaa kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Ninaamini ataweza kufanikisha vision ya Mbowe na jamii nzima ya Chadema kufikia malengo yake.
Unataka huu nao uwe mjadali mwingine pembeni?Nipe sababu niondoe imani niliyonayo kwa Zitto.
Propaganda zilizoasisiwa na waoga ndani ya chama.Unataka huu nao uwe mjadali mwingine pembeni?
Huna kumbukumbu kabisa ya yaliyokuwa yakitokea wakati Zitto anapambana kumwondoa Mbowe kwenye uongozi, na kuishia kujisalimisha kwa Kikwete, hujui chochote kabisa juu ya mkasa huo?
Sawa, hata kama hayo hukuyaamini, na bado unataka watu watoe "sababu" za wewe kuondoa ""imani kwa zitto", kana kwamba hata ACT-Wazalendo hujawahi kuisikia?
Basi, ninakusihi uweke imani yako kwa Zitto aliyepo ACT-Wazalendo, kuliko kwa Zitto ambaye angebaki na kuimaliza CHADEMA.
LOooo!Propaganda zilizoasisiwa na waoga ndani ya chama.
Sitoshangaa propaganda kama hizo zikilengwa kwa heche in near future.
John mrema sijawahi kumkubali kabisa, anafaa kwenye kitengo chake Cha foreign affairs ila sio kwenye active political post!! Hana ushawishi wa kisiasa kabisa otherwise hao wengine uliowataja ni potential sanaOf Course yupo vizuri .... Lakini bado hanatakiwa. Kukomazwa zaidi ndani ya chama kunawatu bado wana nafaxi nzuri sana, Kuna watu kama
1, Tundu lissu
2,,John mrema
3, John mnyika
4,Wenje..
Na vijana wengine wazuri wenye uwezo wa kujenga hoja na kusimia ipasavyo
Kimsingi heche yupo vzur ila bado anaitaji ukomavu zaidi ya sasa
Kinachonishangaza tu ni kuoa Kuondoka kwa mbowe wanaofurahia sana ni wanaccm.
Hii inanipa mawazo sana🤣
Daah! Kweli Kila mtu anaona tofauti!... Hivi kweli unaweza ukamlinganisha Heche na Wenje, John Mrema au Hata huyu Mnyika aliyepoa siku hizi... Heche level yake pale Chadema ni Lissu na Mbowe. Huyu mtu anajua kupanga hoja aisee, labda kama Huwa humfuatilii..Of Course yupo vizuri .... Lakini bado hanatakiwa. Kukomazwa zaidi ndani ya chama kunawatu bado wana nafaxi nzuri sana, Kuna watu kama
1, Tundu lissu
2,,John mrema
3, John mnyika
4,Wenje..
Na vijana wengine wazuri wenye uwezo wa kujenga hoja na kusimia ipasavyo
Kimsingi heche yupo vzur ila bado anaitaji ukomavu zaidi ya sasa
Sema tu wazi kuwa kakikundi ka wachagga ambao wamejiaminisha kuwa chadema ni mali yao na mwenyekiti lazima atoke kwao.Kina nani wapo kwenye kakikundi sikutajii, mteule wao ni lema.
Ana uwezo au hana hiyo ni juu ya uwezo wangu kutambua.
Nimefuatilia michango yake tokea akiwa diwani huko Tarime mpaka kuwa Mbunge 2015, unaweza kubaliana na Mimi kuwa huyu ni msomi anayejitambua, anajua kujenga hoja, mzalendo haswaa, mtiifu, na misimamo isiyoyumba
Alipokuwa mwenyekiti BAVICHA ndipo tulishuhudia taasisi imara ya vijana iliyozaa wanasiasa wengi makini. Na tokea amalize muda wake Bavicha haikuwahi para mwenyekiti makini level ya Heche.
Ukifuatilia ziara yake Kanda ya kusini unaweza ona ushawishi na spirit aliyonayo kupigania maslahi ya wananchi maskini.
Kama mnavyofahamu Mhe Mbowe alitangaza atastaafu 2023, hivyo basi Mimi kama mwanachama hai wa Chadema naona Heche Sasa anafaa kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Ninaamini ataweza kufanikisha vision ya Mbowe na jamii nzima ya Chadema kufikia malengo yake.
Naunga Mkono HojaNimefuatilia michango yake tokea akiwa diwani huko Tarime mpaka kuwa Mbunge 2015, unaweza kubaliana na Mimi kuwa huyu ni msomi anayejitambua, anajua kujenga hoja, mzalendo haswaa, mtiifu, na misimamo isiyoyumba