Hata hilo hulijui? Lissu yuko karibu sana na mtu anayemsema, anamchimba tuWeka ushahidi
John Mrema alikuwa bize kutoa updates ndani ya ofisi za Chama. Hajawahi kuandamana wala kufanya mkutano wowote ule.Mbowe asiwe mkaidi Kwa wosia wa wanafamilia
Pale Magomeni mapipa wakati anasombwa na Mapolisi alikuwepo Nicole peke yake hakuna Yeriko Nyerere wala Masese Boni Yai ππ₯
Hata Mzee Mtei kamkataza Freeman asigombee πJohn Mrema alikuwa bize kutoa updates ndani ya ofisi za Chama. Hajawahi kuandamana wala kufanya mkutano wowote ule.
Maneno yenye Hekima ππJohn Heche kwenye ukurasa wake wa Twitter ame- repost ujumbe wa David Mfugwa wa Chadema ambao unamtaka Mbowe kustaafu kwa heshima na kulinda heshima yake ndani ya Chadema. Hii ina maana kuwa hata Heche hakubaliani na kauli ya #Mi5tena.
Msimamo wetu hautaturudisha nyuma. Ni ama Mwamba avuke na hao machawa wanaoitakia mabaya Chadema au Chadema ivuke kwa kishindo huku Mwamba akishuhudia matunda yake ya kujenga wengine kisiasa. Hii chansi ni ya muhimu sana isichezewe.
View attachment 3180129
Hii Ngoma ni real mzee, hakuna cha kuchezesha hapaMimi naamini Mbowe na Lissu wanawachezesha ngoma wapinzani wao tu !
Mtu mwenye Kutafakari majambo kwa kina atajua tu kwamba Mbowe na Lissu sio watu wa kugombana au wa kuweza kugombanishwa na yeyote yule [emoji15][emoji849][emoji2956]
Ngoja Tusubiri tuone [emoji120]
Ngoja Tusubiri tuone hii movie π₯ !Hii Ngoma ni real mzee, hakuna cha kuchezesha hapa
Kimeumana
Kwani Abdul pesa anaitoa wapi?na kwanini anawapa wapinzani?Huyu mkulima wa ufuta ndiye alitumia fedha ya Abdul kununulia matrekta, na kujenga nyumba mpya Nyegezi Mwanza
john Heche haaminikiJohn Heche kwenye ukurasa wake wa Twitter ame- repost ujumbe wa David Mfugwa wa Chadema ambao unamtaka Mbowe kustaafu kwa heshima na kulinda heshima yake ndani ya Chadema. Hii ina maana kuwa hata Heche hakubaliani na kauli ya #Mi5tena.
Msimamo wetu hautaturudisha nyuma. Ni ama Mwamba avuke na hao machawa wanaoitakia mabaya Chadema au Chadema ivuke kwa kishindo huku Mwamba akishuhudia matunda yake ya kujenga wengine kisiasa. Hii chansi ni ya muhimu sana isichezewe.
View attachment 3180129
Kikwete na Lowassa kama waligombana, basi hata wao wanaweza kutofautiana.Mimi naamini Mbowe na Lissu wanawachezesha ngoma wapinzani wao tu !
Mtu mwenye Kutafakari majambo kwa kina atajua tu kwamba Mbowe na Lissu sio watu wa kugombana au wa kuweza kugombanishwa na yeyote yule π³ππ€©
Ngoja Tusubiri tuone π
Tofautisha kati ya John Heche na Ezekia WenjeHuyu mkulima wa ufuta ndiye alitumia fedha ya Abdul kununulia matrekta, na kujenga nyumba mpya Nyegezi Mwanza
Nasemea HecheTofautisha kati ya John Heche na Ezekia Wenje
Mbowe naye Kilaza tuMbowe asiwe mkaidi Kwa wosia wa wanafamilia
Pale Magomeni mapipa wakati anasombwa na Mapolisi alikuwepo Nicole peke yake hakuna Yeriko Nyerere wala Masese Boni Yai ππ₯