John Heche ashangaa wajumbe wachache kuhudhuria mkutano alioalikwa akiwa na John Mnyika

Mwaka 2020 chadema iliambulia mbunge mmoja. Mwaka 2025 Mama atazoa wabunge wote, hatabakiza hata mmoja. Kwanza chadema walishaahidi watasusa uchaguzi mkuu kama hiyo katiba yao mpya hawataipata. Tunasubiri kwa hamu utekelezaji wa hiyo ahadi yao.
 
Ushamuhudumia mumeo
 
Wote walioitakia Chadema mabaya wamekufa wao,kama lile ibilisi la kihutu lilitumia mabilioni ya kodi zetu kujaribu kuiua Chadema likafa kibudu.
Tehe tehe tehe ....Aaaahh ha ha ha haaaaa

Du! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Muda ni mwalimu mwacheni Mungu aitwe Mungu kikowapiiiii kafa yeye CHADEMA kaicha ...

Muhutu alisimamisha nchi kupambana na CHADEMA ...

... alichinja, akanyonga, akateka na kupoteza ...

... akazua, akasingizia, akadanganya na kuongopa ...

... akapora, akadhulumu, akaiba na kuficha ...

... akanyang'anya, akazuia, akasimamia na kukalia

... akajimwambafy, akaonea, akasumbua na kukatisha tamaa

Ona sasa yeye kaenda CHADEMA bado inasonga mbele, sijui anamtazamaje Sanane pale wanapopishana kwenye viwanja vya ufalme wa Mungu yeye akiwa na minyororo ya moto mwenzie akiwa kabebwa na Malaika
 
CDM huwaoni hapa
Tumeamua kukupuuza ..2025 tunalichukua jiji la mwanza, mbeya, Tanga , Arusha na Dar . Dodoma pia safar hii nayo tunaichukua baada ya wagogo kuzidiwa idadi na wahamiaji ...kwa upande wa munspaal .. iringa, Tunduma, sumbawanga, SINGIDA, Geita , Bukoba, musoma, tabora, kigoma, mtwara, songea, lindi na shinyanga zinakwenda kuchukuliwa na chadema kiulaini kbs

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Hawajui kama hawajui. Wasubiri mziki wa 2025 wembe ni ule ule
 
Huyo Heche hajui wananchi hawali maneno katika wakati huu mgumu.
Angetangaza kuwa katika mkutano huo atagawa pesa na mimi ningekuja.
 
CHADEMA ikifa wewe na mumeo mnapata hasara gani?
 
CHADEMA ikifa wewe na mumeo mnapata hasara gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…