Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,310
Muasisi? Mwangosi alitolewa utumbo kipindi gani? Mara ya kwanza kusikia watu wanatupwa Mwabepande ( Dr Ulimboka) ilikuwa kipindi gani? Acha ukilaza wewe?Alisingiziwa? Kwamba hakuhusika? Yaani uteke mtu enzi za JPM na akuache hivi hivi?
Yeye ndio muasisi wa huu upumbavu huyu mama anaendeleza tu
Kama JPM alikuwa akifanya utekaji basi ungekoma sassa, kama ile kasi yake ya maendeleo aliyokoma. Mbona utekaji umezidi?
Common denominator wa utekaji hapo ni kikwete na alishatamkwa kuwa ndiye boss wa Samia.