John Heche azuiliwa mpaka wa Sirari akiwa anaelekea Kenya kwenye mazishi ya Odinga

John Heche azuiliwa mpaka wa Sirari akiwa anaelekea Kenya kwenye mazishi ya Odinga

..
Screenshot_20251018-201904.png
 
Alisingiziwa? Kwamba hakuhusika? Yaani uteke mtu enzi za JPM na akuache hivi hivi?

Yeye ndio muasisi wa huu upumbavu huyu mama anaendeleza tu
Kati ya JPM na mama yenu, nani aliwapelekea moto vzr?
 
What’s the logic behind this? Kama sio kupagawa tu huko serikalini.

Yanini uanzishe shari ambazo hazina kichwa wala miguu.

Is there anyone left even with an iota of common-sense advising this government.
 
Me nadhani mfumo wa vyama vingi ufutwe tu Tanzania kwasababu kuna watu hawapo tayari kuufwata.
 
Itv ya miaka hii kwisha habari, niliona juzi wamefosi kutengeneza habari kwa kukusanya maoni ya upande mmoja wa wananchi wanaokemea kuhusu maandamano. Kwa ufupi habari ililazimishwa kuwa habari.
 
Hivyo vyombo binafsi navikumbuka tu kwa kuwa nilishawahi kuwa natazama. Ni zaidi ya miaka 7 sasa sijui taarifaa zao zipoje.

Vilishakuwa takataka,sasa utaakkaaje jalalani.
 
Back
Top Bottom