Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Mjomba nijibu basi kule...Ili uwe kwenye hivyo vyombo lazima ufeli form four
Mjomba nijibu basi kule...Ili uwe kwenye hivyo vyombo lazima ufeli form four
Rushwa inatembea Hadi kwa homeless wa kimexico marekani si mchezoHahaha Jamaa hawacheki na KIMA
Wewe ni mpumbavuHivi kwa haya yanayoendelea,je CHADEMA kwa nini wasisalimu amri kwa muda ili wajipange upya?? Maana sioni mwisho mwema kwa kuvimbiana na serikali namna hii
Robert Heriel Mtibeli unasemaje juu ya hili?
Mkuu kwa nini unasema wanavimbiana na serikali?Hivi kwa haya yanayoendelea,je CHADEMA kwa nini wasisalimu amri kwa muda ili wajipange upya?? Maana sioni mwisho mwema kwa kuvimbiana na serikali namna hii
Robert Heriel Mtibeli unasemaje juu ya hili?
Kutojiamini kumekuwa kukubwa sana.Kuelekea Oct.29 mambo haya yalitegemewaMnazuia hata watu kuzika? Dah
Tujibizane kwa hoja.Kusalimu Amri ni njia moja wapo ya kujipanga upya. Hata huyo Raila odinga alikuwa anatumia technique hyo hyo..Wewe ni mpumbavu
Ana Mchango Mkubwa sana wa hapa tulipofikia hawezi kukwepa lawamaPamoja na mapungufu mengi, lakini kwa hakika nchi yetu haijawahi kuwa na utawala mbaya, na wa ajabu kupindukia, kama huu wa sasa.
Tulimlaumu hayati Magufuli, lakini hayati akilinganishwa na hawa wa sasa, ataonekana alikuwa malaika.
Shida siyo kilipotoka kifaa hiko ch ulinzi wa taifa letu. Shida ni upatikanaji wake. Unapita mpakani na unakutana na kifaa cha ulinzi kina nembo ta taifa jingine? aah ah!
Kama huna uwezo sasa utafanya nini?😂😂...Hii ni sawa na mkeo ananunuliwa zawadi ya nguo za ndani na rafiki zako washikaji.
hivi ndugu zetu wa kenya hamuwezi kutusaidia yule rais kivuli asirudi tz??? tusaidieni jamani wakenya nyie ni ndugu zetuMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Wegese Heche amezuiliwa kusafiri Kwenda nchini Kenya kuhudhuria Mazishi ya Raila Amolo Odinga, Mh Heche amezuiliwa Mpaka wa Tanzania na kenya (Sirari) Wilaya ya Tarime
Mpaka sasa uhamiaji wamechukua hati ya kusafiria ya Mh Heche na hawajatoa sababu zozote za kwanini wanamzuia kwenda nchini Kenya, Jana Serikali ya Tanzania ilikuwa na mwakilishi kwenye ibada maalum ya kuuga Mwili ya Mh Odinga na Wakilishi wa Tanzania waliongozwa na Makamu wa Rais Mh Philipo Mpango, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na wengineo.
Tunaendelea kufuatilia na taarifa rasmi itatolewa na Chama Makao Makuu
J. Mnyawami
Katibu kanda ya Serengeti
18/10/2025
View attachment 3490382
View attachment 3490389
UPDATE: KUTOKA CHADEMA MAKAO MAKUU
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuutangazia umma kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi, imemuweka kizuizini Makamu Mwenyekiti, Mheshimiwa John Wegesa Heche.
Mhe. Heche amekamatwa Saa Nane, mchana huu wa Jumamosi, Oktoba 18, 2025 mkoani Mara kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya huko Isibania One Stop Border alipokuwa anataka kuingia Kenya.
Ikumbukwe kuwa jana, tulitoa taarifa tukiutaarifu umma kuwa Mhe. Heche atakwenda nchini Kenya kukiwakilisha Chama hudhuria mazishi ya Mwanasiasa nguli wa Kenya, Raila Amolo Odinga.
Pamoja na kumuweka kizuizini, Mamlaka ya Uhamiaji Tanzania imemnyang'anya hati yake ya kusafiria (Passport) bila kueleza kwanini wamechukua uamuzi huo. Kumzuia Mhe. Heche kwenda kuwapa pole Wakenya ni kuwanyima raia wa nchi hiyo haki yao ya kufarijiwa wanapofikwa na majanga mbalimbali ikiwemo misiba.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania imuachie mara moja Mhe. Heche na iache kuwanyanyasa viongozi wa Chama chetu, kuwapora haki yao ya kutoka nje ya nchi na kuingia kama inavyoelezwa kwenye Ibara ya 17(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Imetolewa leo Jumamosi, tarehe 18 Oktoba 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
ACT wamesalimu wamepata nini? si wamezuiwa kugombea Urais.Hivi kwa haya yanayoendelea,je CHADEMA kwa nini wasisalimu amri kwa muda ili wajipange upya?? Maana sioni mwisho mwema kwa kuvimbiana na serikali namna hii
Robert Heriel Mtibeli unasemaje juu ya hili?
Alisingiziwa? Kwamba hakuhusika? Yaani uteke mtu enzi za JPM na akuache hivi hivi?JPM alisingiziwa mabaya mengi sana