John Heche azuiliwa mpaka wa Sirari akiwa anaelekea Kenya kwenye mazishi ya Odinga

John Heche azuiliwa mpaka wa Sirari akiwa anaelekea Kenya kwenye mazishi ya Odinga

CHINA AID 😂😂😂
Scanner for national security inatoka kwa msaada wa watu wa China?
Ha haaa 🤣
The first thing to notice was that thing printed "CHINA AID".
A public institution can't afford even small equipment or a machine like that.
Very sad.
We should be ashamed of ourselves.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amekamatwa na Polisi Mkoani Mara akiwa mpakani kuelekea Kenya. Kawekwa kuzuizini hadi sasa.

IMG_20251018_155755_274.jpg
 
Aya kikao cha kujadili kesi ya kumbambikia bado hakijaisha
 
Back
Top Bottom