Muasisi? Mwangosi alitolewa utumbo kipindi gani? Mara ya kwanza kusikia watu wanatupwa Mwabepande ( Dr Ulimboka) ilikuwa kipindi gani? Acha ukilaza wewe?
Kama JPM alikuwa akifanya utekaji basi ungekoma sassa, kama ile kasi yake ya maendeleo aliyokoma. Mbona utekaji umezidi?
Common denominator wa utekaji hapo ni kikwete na alishatamkwa kuwa ndiye boss wa Samia.