Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Tayari wameanza kupoteza FOCUS, mtamkumbuka Freeman Mbowe mbwa nyinyi!!Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kinatarajia kujenga chuo maalum cha uongozi na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano katika eneo la Soga, kwa kutumia fedha zinazoendelea kuchangwa na wadau kupitia kampeni inayoitwa “tone tone”.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025
Mbwa mwenyewe,Mama yako na baba yako na ukoo wako ndiyo mbwa wote, kama unamtaka Mbowe akuoe sema tu,huna adabu kabisaTayari wameanza kupoteza FOCUS, matamkumbuka Freeman Mbowe mbwa nyinyi!!
Yaani mukajenge ukumbi na chuo cha mafunzo ili mupate nini? Nyie pambanieni kuchukua dola kwa kushiriki chaguzi ndogo ndogo, za kati hadi Ubunge ili siju moja muweze kushinda Urais.
Sera za CCM zimeanza kufanyiwa kazi.Fikeni pale Kibaha mkajifunzeMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kinatarajia kujenga chuo maalum cha uongozi na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano katika eneo la Soga, kwa kutumia fedha zinazoendelea kuchangwa na wadau kupitia kampeni inayoitwa “tone tone”.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025
Nimecheka ile mbaya, naona unalipiza habari ya ukomo wa viti maalum🤣Sera za CCM zimeanza kufanyiwa kazi.Fikeni pale Kibaha mkajifunze
CHADEMA ni injini ya jet, CCM ni injini ya IST, 2NZ VVTiMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kinatarajia kujenga chuo maalum cha uongozi na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano katika eneo la Soga, kwa kutumia fedha zinazoendelea kuchangwa na wadau kupitia kampeni inayoitwa “tone tone”.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025
Wapo sahihi SanaWamefanya feasibility study kwa ajili ya miradi hii? Kwa miaka mingi CDM ilikuwa inaoperate kutoka kwenye kajumba Ufipa. Na walikijenga chama chao kutoka ka jumba hako hako badala ya kukimbilia mjengo wa kifahari. Walikuwa focused. Hiki wanachokifanya sasa hivi ni kupoteza focus.
Amandla...
Kajifunze silabi na istilahi kwanza ili ukija kuandika siku nyingine ueleweke 😂😂😂Tayari wameanza kupoteza FOCUS, matamkumbuka Freeman Mbowe mbwa nyinyi!!
Yaani mukajenge ukumbi na chuo cha mafunzo ili mupate nini? Nyie pambanieni kuchukua dola kwa kushiriki chaguzi ndogo ndogo, za kati hadi Ubunge ili siku moja muweze kushinda Urais.
chadema hakuna hata mmoja mwenyue akili yote mavuvuzela tuWahitimu wa chuo hicho watafanya kazi wapi? Kwa nini wanataka kujenga chuo wakati kuna surplus ya wasomi nchini. Badala ya kujenga chuo chao waongeze juhudi katika kuimarisha matawi yao kwenye vyuo vilivyopo na ku identify wale ambao watawafaa. Na wanafunzi wanaosoma katika vyuo ambavyo vina mgongano wa itikadi ndio vinatoa wahitimu walioiva. Wakina Heche walifundwa katika vyuo public na kazi ya CDM ili ni kukomaza vipaji vyao. Hili ni wazo baya sana. Ni kama waanzishe biashara ya mabasi ya Chadema. Hata wazo la kujenga ukumbi nalo ni baya. Watatoa wapi wateja?
Amandla...
Kujenga chuo kwa ajili ya wapenzi wa Chadema watakao ajiriwa na Chadema? Maana nafasi zao za ajira sehemu nyingine zitakuwa limited kutokana na Chuo kumilikiwa na Chadema. Wanajua gharama za kuendesha chuo?Wapo sahihi Sana
Hahahahaa kila ukisikia CHUO unawaza AJIRA, dah maskini Tanzania Dah, nilitaka kucheka nikajikuta naumia! Hawa ndio Vijana tegemezi wa CCMWahitimu wa chuo hicho watafanya kazi wapi? Kwa nini wanataka kujenga chuo wakati kuna surplus ya wasomi nchini
Kuna chuo gani duniani ambacho hakilengi ajira? Haujui kuwa hata research ni ajira? Na mara nyingi waajiri ndio wanachangia Chuo?Hahahahaa kila ukisikia CHUO unawaza AJIRA, dah maskini Tanzania Dah, nilitaka kucheka nikajikuta naumia! Hawa ndio Vijana tegemezi wa CCM
Hizi akili za mbumbumbu ambae haelewi chama kinahitaji taasisi za kuzalisha wataalam kutoka kwenye mifumo yake!Tayari wameanza kupoteza FOCUS, matamkumbuka Freeman Mbowe mbwa nyinyi!!
Yaani mukajenge ukumbi na chuo cha mafunzo ili mupate nini? Nyie pambanieni kuchukua dola kwa kushiriki chaguzi ndogo ndogo, za kati hadi Ubunge ili siku moja muweze kushinda Urais.