Pre GE2025 John Heche: CHADEMA Kujenga Chuo cha Uongozi na Ukumbi wa Mikutano Kupitia Kampeni ya "Tone Tone"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kinatarajia kujenga chuo maalum cha uongozi na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano katika eneo la Soga, kwa kutumia fedha zinazoendelea kuchangwa na wadau kupitia kampeni inayoitwa “tone tone”.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Tayari wameanza kupoteza FOCUS, mtamkumbuka Freeman Mbowe mbwa nyinyi!!

Yaani mkajenge ukumbi na chuo cha mafunzo ili mupate nini? Nyie pambanieni kuchukua dola kwa kushiriki chaguzi ndogo ndogo, za kati hadi Ubunge ili siku moja muweze kushinda Urais.
 
Tayari wameanza kupoteza FOCUS, matamkumbuka Freeman Mbowe mbwa nyinyi!!

Yaani mukajenge ukumbi na chuo cha mafunzo ili mupate nini? Nyie pambanieni kuchukua dola kwa kushiriki chaguzi ndogo ndogo, za kati hadi Ubunge ili siju moja muweze kushinda Urais.
Mbwa mwenyewe,Mama yako na baba yako na ukoo wako ndiyo mbwa wote, kama unamtaka Mbowe akuoe sema tu,huna adabu kabisa
 
Wahitimu wa chuo hicho watafanya kazi wapi? Kwa nini wanataka kujenga chuo wakati kuna surplus ya wasomi nchini. Badala ya kujenga chuo chao waongeze juhudi katika kuimarisha matawi yao kwenye vyuo vilivyopo na ku identify wale ambao watawafaa. Na wanafunzi wanaosoma katika vyuo ambavyo vina mgongano wa itikadi ndio vinatoa wahitimu walioiva. Wakina Heche walifundwa katika vyuo public na kazi ya CDM ili ni kukomaza vipaji vyao. Hili ni wazo baya sana. Ni kama waanzishe biashara ya mabasi ya Chadema. Hata wazo la kujenga ukumbi nalo ni baya. Watatoa wapi wateja?

Amandla...
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kinatarajia kujenga chuo maalum cha uongozi na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano katika eneo la Soga, kwa kutumia fedha zinazoendelea kuchangwa na wadau kupitia kampeni inayoitwa “tone tone”.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Sera za CCM zimeanza kufanyiwa kazi.Fikeni pale Kibaha mkajifunze
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kinatarajia kujenga chuo maalum cha uongozi na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano katika eneo la Soga, kwa kutumia fedha zinazoendelea kuchangwa na wadau kupitia kampeni inayoitwa “tone tone”.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

CHADEMA ni injini ya jet, CCM ni injini ya IST, 2NZ VVTi
 
Wamefanya feasibility study kwa ajili ya miradi hii? Kwa miaka mingi CDM ilikuwa inaoperate kutoka kwenye kajumba Ufipa. Na walikijenga chama chao kutoka ka jumba hako hako badala ya kukimbilia mjengo wa kifahari. Walikuwa focused. Hiki wanachokifanya sasa hivi ni kupoteza focus.

Wapo sahihi Sana
 
Tayari wameanza kupoteza FOCUS, matamkumbuka Freeman Mbowe mbwa nyinyi!!

Yaani mukajenge ukumbi na chuo cha mafunzo ili mupate nini? Nyie pambanieni kuchukua dola kwa kushiriki chaguzi ndogo ndogo, za kati hadi Ubunge ili siku moja muweze kushinda Urais.
Kajifunze silabi na istilahi kwanza ili ukija kuandika siku nyingine ueleweke 😂😂😂
 
Wahitimu wa chuo hicho watafanya kazi wapi? Kwa nini wanataka kujenga chuo wakati kuna surplus ya wasomi nchini. Badala ya kujenga chuo chao waongeze juhudi katika kuimarisha matawi yao kwenye vyuo vilivyopo na ku identify wale ambao watawafaa. Na wanafunzi wanaosoma katika vyuo ambavyo vina mgongano wa itikadi ndio vinatoa wahitimu walioiva. Wakina Heche walifundwa katika vyuo public na kazi ya CDM ili ni kukomaza vipaji vyao. Hili ni wazo baya sana. Ni kama waanzishe biashara ya mabasi ya Chadema. Hata wazo la kujenga ukumbi nalo ni baya. Watatoa wapi wateja?

Amandla...
chadema hakuna hata mmoja mwenyue akili yote mavuvuzela tu
 
Ukiondoa katika nchi za kikomunisti, kuna chama gani cha siasa chenye chuo chake? Labour ya UK, Republicans wa Marekani, ANC ya S. Africa hawana.

Amandla...
 
Hahahahaa kila ukisikia CHUO unawaza AJIRA, dah maskini Tanzania Dah, nilitaka kucheka nikajikuta naumia! Hawa ndio Vijana tegemezi wa CCM
Kuna chuo gani duniani ambacho hakilengi ajira? Haujui kuwa hata research ni ajira? Na mara nyingi waajiri ndio wanachangia Chuo?

Amandla...
 
Tayari wameanza kupoteza FOCUS, matamkumbuka Freeman Mbowe mbwa nyinyi!!

Yaani mukajenge ukumbi na chuo cha mafunzo ili mupate nini? Nyie pambanieni kuchukua dola kwa kushiriki chaguzi ndogo ndogo, za kati hadi Ubunge ili siku moja muweze kushinda Urais.
Hizi akili za mbumbumbu ambae haelewi chama kinahitaji taasisi za kuzalisha wataalam kutoka kwenye mifumo yake!
 
Back
Top Bottom