John Heche: Chokochoko siyo neno la kistaarabu

John Heche: Chokochoko siyo neno la kistaarabu

Jamaa ni mjinga sana. Hata Mnyika nae kawa mjinga sana aisee... alipendekeza iwepo kodi ya katiba. Dah! Chadema imefilisika
Chadema kwishnei....

Hamna chama Cha maana hapo.....

Hao ni wazee wa SIASA ZA MATUKIO.....

Hoja zao za UFISADI zilizimwa kivitendo na Hayati JPM....na mama anaendeleza .....

#KaziIendelee
 
Tungemuona wa maana Heche kama angemsema yule mwehu Mbozi aliyetoka kifungoni kwa hisanai na leo anatukana hayo hayo malaka yaliyomtoa kifungoni.

Hauoni kuwa kwa kusema hivi una maanisha kuwa aliingia kifungoni kwa "hisani"? Kwa mtazamo wako ni "mamlaka" ndio iliyomtoa kifungoni na sio Mahakama maana sijawahi kumsikia akiisema vibaya Mahakama. Kwa mtazamo wako ni haki kabisa kwa "mamlaka" kumweka mtu kifungoni na kumtoa jinsi wanavyopenda bila kujali kama ana hatia aula? Hauoni haumtendei haki huyo unayejidai kuwa unamtetea?

Amandla..
 
Tungemuona wa maana Heche kama angemsema yule mwehu Mbozi aliyetoka kifungoni kwa hisanai na leo anatukana hayo hayo malaka yaliyomtoa kifungoni.
Mamlaka imemtoa kifungoni? Duh! Kwa hisani? Hisani ya nani?

Nina uhakika unaposema “hisanai”, ulitaka kusema “hisani” ulivyo wa ajabu hata hauja “edit”. Inaonyesha “carelessness”. Hivyo maoni yako hayaonyeshi uelewa wa kutosha kuhusu hoja zinazotolewa.
 
Kwani UAMSHO nao hawakutokea kwa hisani?!!!

Mbona walikaa ndani miaka yote hiyo ?!!

Hakukuwa na MAHAKAMA ?!!!

Kwa hiyo ushahidi umekosekana baada ya miaka 9 na si miaka 5 ya uchunguzi?!!!
 
Kwani UAMSHO nao hawakutokea kwa hisani?!!!

Mbona walikaa ndani miaka yote hiyo ?!!

Hakukuwa na MAHAKAMA ?!!!

Kwa hiyo ushahidi umekosekana baada ya miaka 9 na si miaka 5 ya uchunguzi?!!!
Samahani, inaonekana uko kazini. Nilifanya editing right away, you were really fast. However, just refer to the last paragraph of the edited version.

Je atakubali kuitumia hii katiba mbovu kama alivyofanya mwendazake? Nani asiyejuwa kuwa katiba hii inamruhusu rais kuwa dikteta?
 
Watalegea tu!
Ameanza Werema, akaja Sospeter Muhongo, na Sasa Warioba. Next ni Samia kusalimu amri.

Usicheze na nguvu ya umma wewe!!!
Kwani SSH alisema hataki katiba mpya?
 
Mzee Warioba ni MTANZANIA Kama wewe....

Maneno yake si SHERIA....
  • Amewahi kuwa makamu wa rais,
  • Amewahi kuwa Waziri Mkuu,
  • Amewahi kuwa mwenyekiti wa time ya mabadiliko ya KATIBA .

Kwahiyo huyu akiongea ni nchi imeongea, hivyo wewe msafisha viatu wa kwa Mtogole ama huko Ibinzamata unapaswa kunyamaza,
 
Samahani, inaonekana uko kazini. Nilifanya editing right away, you were really fast. However, just refer to the last paragraph of the edited version.

Je atakubali kuitumia hii katiba mbovu kama alivyofanya mwendazake? Nani asiyejuwa kuwa katiba hii inamruhusu rais kuwa dikteta?
Katiba yetu si mbovu...

Mnaitia ubovu kwa vipimo gani ?!!!

Rejea yenu imelalia wapi ?!!

Katiba ya nchi moja si lazima ifanane na ya nchi NYINGINE....

Katiba hujumuisha UTAMADUNI wa nchi husika.....

Demokrasia si moja kwa nchi zote...
Kila nchi ina dhima ya kuitafsiri demokrasia kwa ADA NA KAWAIDA YA WATU WAKE....

Katiba yetu inaendana na historia ya watanganyika na watanzania....mathalani kuiletea misingi ya Kenya ,ni kujitia tu msambweni......

#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom