Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama alidhani maneno matamu yatawaltia usingizi CHADEMA wasahau wanachokitafuta...mbona Rais SSH kamteua kuwa mkuu wa wilaya mwehu aliyesema atamchoma Tundu Lissu sindano yenye sumu?
..je, kwa kuteua wehu wanaotishia kuua wapinzani unadhani Rais ana dhamira ya kweli ya kuliunganisha taifa kama alivyodai ktk hotuba yake aliyoitoa bungeni?
Nyani, kwa mtazamo wa some of these fools kuingizwa kifungoni ni 'hisani' maana wakubwa hawawezi kufanya kitu kwa 'hila' au 'ghilba'. Ni yale yale ya kumchapa mtoto na kumwambia inakuuma kuliko inavyomuuma.Fundi,
Hisani ni wema. Ni moyo wa kumtendea mtu mazuri.
Mtu anaweza kweli kuingia kifungoni kwa ‘hisani’?
Nadhani hapo neno linalofaa ni ‘hila’ au ‘ghiliba’.
Na una amini amani unaweza kuilazimisha in perpetuity?Nyau wewe Bora swara la katiba liishie mbali lakini tuendelee kuwa na amani.amani ndo kipa umbele kwetu Sisi walala hoyi.
Tungemuona wa maana Heche kama angemsema yule mwehu Mbozi aliyetoka kifungoni kwa hisanai na leo anatukana hayo hayo malaka yaliyomtoa kifungoni.
Hapana. Ni tafsiri yenu tu yenye shida. Hata wewe ungeingia madarakani baafa ya mwendazake usingeanza na katiba mpya. Kwa jinsi alivyovuruga uchumi na biashara, ukianza na issues kama katiba mpya, utajikuta hata mishahara huwezi kulipa.Ndiyo. Hukumsikia siku ile anasema mpk ajenge uchumi kwanza??
Ni suala la kutumia akili tu mkuu.
Hivi ukipewa ahadi kama hiyo si sawa na kunyimwa tu? Maana hata Marekani bado wanajenga uchumi wao.
Akili ya kitoto hii. Hata kama kusoma hujui basi hata picha huioni?Mdude ameishinda serikali mahakamani,hajatolewa na kuwa huru kwa hisani ya yoyote yule.