Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia endapo akifariki taarifa itakayotolewa itakuwa ya aina gani.
"Mzee kama Dkt. Slaa mzee wa miaka 76 amekuwa mbunge kwa miaka 15, amekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa Balozi,unamkamata kesi ambayo ina dhamana unatumia mahakama kumuangamiza, hivi akikufia Rais Samia unamtoaje unatuambiaje watu? kwamba amekufa tu kifo cha kawaida, leo wakakuambia Dkt. Slaa hatupo naye tena unawaambiaje watanzania"
Oy wanangu ni kweli kabisa Kuna malipo ya Kila unachokifanya . Yes zuri na ovu vyote hivi hulipwa! Na pengine uovu hulipwa Kwa uovu mkubwa kabisa na vilevile wema hulipwa zaidi na zaidi. Kila mmoja ataitumikia karma na usipoitumikia karma vizazi vitalipa!
Huyu Mzee analipwa!
Bado mi nawe . Nasi tutalipwa Kwa kadiri ya uovu na wema wa matendo yetu! Si mbali siku inakuja! Ni wapi? Ni hapahapa
Hata hawajali lolote, wanaamini kuwa maisha yataendelea hivihivi. Lakini upepo huwa unabadilika. Dakika moja tuu halafu tukaanza kushangaana. Tuombe uzima tuone mambo maana yajayo yanafurahisha
Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia endapo akifariki taarifa itakayotolewa itakuwa ya aina gani.
"Mzee kama Dkt. Slaa mzee wa miaka 76 amekuwa mbunge kwa miaka 15, amekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa Balozi,unamkamata kesi ambayo ina dhamana unatumia mahakama kumuangamiza, hivi akikufia Rais Samia unamtoaje unatuambiaje watu? kwamba amekufa tu kifo cha kawaida, leo wakakuambia Dkt. Slaa hatupo naye tena unawaambiaje watanzania"
Atoe ushahidi wa Samia kumpa Mbowe hela ili ashinde uchaguzi chadema. Hakuna mtu mwenye haki ya kuumiza wengine na yeye asiumie!! Slaa ameleta damage kubwa sana kwa heshima ya Mbowe acha alipie gharama yake mshenzi mkubwa.