Pre GE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

Pre GE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mraibu wa kubet anadhani Kikongwe Slaa ndio yuko gerezani Peke yake. Huyu si alisema Lissu kajipiga risasi, na mbowe ni gaidi. Karma is bitch.
 
Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia endapo akifariki taarifa itakayotolewa itakuwa ya aina gani.

Soma: Kesi ya Dkt. Slaa imeahirishwa mpaka Februari 18, 2025

"Mzee kama Dkt. Slaa mzee wa miaka 76 amekuwa mbunge kwa miaka 15, amekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa Balozi,unamkamata kesi ambayo ina dhamana unatumia mahakama kumuangamiza, hivi akikufia Rais Samia unamtoaje unatuambiaje watu? kwamba amekufa tu kifo cha kawaida, leo wakakuambia Dkt. Slaa hatupo naye tena unawaambiaje watanzania"

Duuh
 
Huyu mraibu wa kubet anadhani Kikongwe Slaa ndio yuko gerezani Peke yake. Huyu si alisema Lissu kajipiga risasi, na mbowe ni gaidi. Karma is bitch.
Hehehe.....Alishiba kidogo tu. Au pengine Magu alimwambia akatoe neno
 
huyu mzee ni kichaa tu yaani umri huo bado unakesha kwnye mitandao kuongea ujinga wacha asote ndiyo anachokitaka umaarufu wa kijinga
angemsifia mama yenu kwenye mitandao mngempongeza pumbafu senu
 
Acha aendelee kusota rumande sababu anaweza kuja kukengeuka kwenye kipindi cha kampeni kama mwaka 2015 akawapa ushindi CCM dakika za lala salama!
Dr Slaa ni mtata sana tokea atoke upadre aingie siasa akiwa CCM,wakamtosa akahamia Chadema.
Ndoa zake,uongozi wake mwishoni baada ya kunyimwa kugombea Uraisi kupitia Chadema.
Kauli zake alipoteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden na pale alipopumzishwa akaendelea kujikaanga hadi serikali ya CCM wakamchoka wakamvua cheo cha kuitwa Ambassador.
Alimtungia Lisu kitabu anasema hafai,ni porojo tu lakini Lissu alipoazimia kugombea akamumwagia sifa tele.

Selikali imuachie mzee huyo kwakuwa hana madhara,lakini akitoka jela aachane na siasa aende aishi kwa watawa akiomba kwa Muumba wake.
 
Kauli zake alipoteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden na pale alipopumzishwa akaendelea kujikaanga hadi serikali ya CCM wakamchoka wakamvua cheo cha kuitwa Ambassador.
Alimtungia Lisu kitabu anasema hafai,ni porojo tu lakini Lissu alipoazimia kugombea akamumwagia sifa tele.
Ni baada ya kupinga bandari za Tanganyika kupewa waarabu huku za Zanzibar zikiwa salama, huo ndio unaita utata wa Dr Slaa?!
 
Atawaambia Watanzania kuwa Dr Slaa kafia gerezani.

Kwani yeye Heche alipanga Dr Slaa afie wapi?
Alipanga afie kwa shemeji yako aleyekulipia school fee.

Vipi kwani dada yako bado yuko palepale alipopanga chumba kimoja na sebule ?
 
Muulize baba ako kinyesi Cha mama ako alikiwezaje.....umbwaaa
😄😄😄. Nimeshamuuliza anasema aliweza baada ya kujifunza kumkoboa Mama Ako.

Vipi mdogo wako aliezaa na dingi wa ManFilandu ajambo ? Nasikia sasa hivi kawa shoga eti eti eti ni kweli 😆😆😆
 
Back
Top Bottom