Pre GE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

Pre GE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Oyaaaa husikasirike usiku huu !!! Nipo na mamako ametoroka kwa babako, Babako kapigwa sound kuwa anaenda kumcheki dada yako ambae ni mjamzito. Kumbe yupo geto kwa manfilandu ana mfilandu.

Ila kesho nitakucheki
Mpuuzi mkubwa, akili yako haina akili
 
Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia endapo akifariki taarifa itakayotolewa itakuwa ya aina gani.

Soma: Kesi ya Dkt. Slaa imeahirishwa mpaka Februari 18, 2025

"Mzee kama Dkt. Slaa mzee wa miaka 76 amekuwa mbunge kwa miaka 15, amekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa Balozi,unamkamata kesi ambayo ina dhamana unatumia mahakama kumuangamiza, hivi akikufia Rais Samia unamtoaje unatuambiaje watu? kwamba amekufa tu kifo cha kawaida, leo wakakuambia Dkt. Slaa hatupo naye tena unawaambiaje watanzania"


Heche ni mjinga sana ,,magerezani kuna wazee wengi tu hivi lini amewasemea?!!

Kifo hakihusiani na ufungwa ...


Heche aache utoto
 
Heche ni mjinga sana ,,magerezani kuna wazee wengi tu hivi lini amewasemea?!!

Kifo hakihusiani na ufungwa ...


Heche aache utoto
Sawa na wewe mwelevu, uache mahaba ya kikubwa ya kupenda kukunwa tuuuuu na kuwekewa kigogo makalioni huku unatembea nacho mchana kweupeeee
 
Sawa na wewe mwelevu, uache mahaba ya kikubwa ya kupenda kukunwa na kuwekewa kigogo makalioni huku unatembea nacho mchana kweupeeee
Argumentum ad hominem.....

Heche ni mjinga wa hoja za kijinga....huyo mzee akae ndani tu....si embe lenye KUOZA....
 
Back
Top Bottom