Pre GE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Atoe ushahidi wa Samia kumpa Mbowe hela ili ashinde uchaguzi chadema. Hakuna mtu mwenye haki ya kuumiza wengine na yeye asiumie!! Slaa ameleta damage kubwa sana kwa heshima ya Mbowe acha alipie gharama yake mshenzi mkubwa.
Mzee safari hii kaingia cha kike,atanyooka

Wanaompenda sana,wamfuate huko mahabusu
 
Ni baada ya kupinga bandari za Tanganyika kupewa waarabu huku za Zanzibar zikiwa salama, huo ndio unaita utata wa Dr Slaa?!
Wewe uliyepewa hizo bandari kutoka kuvunjika Afrika Mashariki umefanya nini?
Kama huelewi kitu nyamaza.
 
Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia endapo akifariki taarifa itakayotolewa itakuwa ya aina gani.

Soma: Kesi ya Dkt. Slaa imeahirishwa mpaka Februari 18, 2025

"Mzee kama Dkt. Slaa mzee wa miaka 76 amekuwa mbunge kwa miaka 15, amekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa Balozi,unamkamata kesi ambayo ina dhamana unatumia mahakama kumuangamiza, hivi akikufia Rais Samia unamtoaje unatuambiaje watu? kwamba amekufa tu kifo cha kawaida, leo wakakuambia Dkt. Slaa hatupo naye tena unawaambiaje watanzania"

Wanavyokufa wengine Rais huwa anawaambiaga Nini watanzania? Akili za nyumbu hizo. Hawanaga hoja wanadandia tu vioja
 
Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia endapo akifariki taarifa itakayotolewa itakuwa ya aina gani.

Soma: Kesi ya Dkt. Slaa imeahirishwa mpaka Februari 18, 2025

"Mzee kama Dkt. Slaa mzee wa miaka 76 amekuwa mbunge kwa miaka 15, amekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa Balozi,unamkamata kesi ambayo ina dhamana unatumia mahakama kumuangamiza, hivi akikufia Rais Samia unamtoaje unatuambiaje watu? kwamba amekufa tu kifo cha kawaida, leo wakakuambia Dkt. Slaa hatupo naye tena unawaambiaje watanzania"

Mbowe ni gaidi.
 
Tokea maafande jela wakuinamishe siku hizi unakuwa unalingaaaaa mwenyeweee !!!
Kwa hio hii ndio umeona ni bonge la tusi?😀

Tunasema hivi,Acha kelele kama una mahaba nae sana kuzidi mkewe mfuate mahabusu
 
Hauwezi kuona ni tusi kwa sababu ushazoea kuinamishwa na kukumbatiwa.

Daaa kweli mazoea yanatabu
 
Kama unampenda kuzidi mkewe mfuate mahabusu,mkitoka humo wote mmenyooka,mdomo mdomo utaisha
 
Hapana Beibi, Man filandu amekupenda wewe tu, maana SGR ya mchongoko imesimama wima. 😄😄😄
 
Back
Top Bottom