Pre GE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Babakomamako
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†. Vipi tena kulikoni Nyoka ameingia kunako baada kuinama wakati wa kuokota bazoka ?

Utamu wa dawa ya kuulia Mbu (Rungu) umekuzidi mpaka unamtaja Babako na Mamako.
 
Kama unampenda kuzidi mkewe mfuate mahabusu,mkitoka humo wote mmenyooka,mdomo mdomo utaisha
Vipi Mpenzi umeshakula Mihogo ya mnyapara maana hawana dogo wale. Suala la kuchukua ukuni na kukuchapa nao ni nje-nje tu.
 
huyu mzee ni kichaa tu yaani umri huo bado unakesha kwnye mitandao kuongea ujinga wacha asote ndiyo anachokitaka umaarufu wa kijinga
Lakini si watoto wanampelekea chakula haina shida yupo mikono salaaaama ya watu wwnye weledi yy hakioneo huruma anavuliwa hadhi ya ubalozi bado anabishana na mamlaka sasa hilo ni eneo sahihi kwake
 
Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia endapo akifariki taarifa itakayotolewa itakuwa ya aina gani.

Soma: Kesi ya Dkt. Slaa imeahirishwa mpaka Februari 18, 2025

"Mzee kama Dkt. Slaa mzee wa miaka 76 amekuwa mbunge kwa miaka 15, amekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa Balozi,unamkamata kesi ambayo ina dhamana unatumia mahakama kumuangamiza, hivi akikufia Rais Samia unamtoaje unatuambiaje watu? kwamba amekufa tu kifo cha kawaida, leo wakakuambia Dkt. Slaa hatupo naye tena unawaambiaje watanzania"

Swali, je kuna binadamu ambaye hata kufa?
 
Vipi Mpenzi umeshakula Mihogo ya mnyapara maana hawana dogo wale. Suala la kuchukua ukuni na kukuchapa nao ni nje-nje tu.
Kwa akili za wana Chadema hizi,ndio mpewe nchi?๐Ÿ˜
Mtanyooka tu,mtake msitake
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†. Vipi tena kulikoni Nyoka ameingia kunako baada kuinama wakati wa kuokota bazoka ?

Utamu wa dawa ya kuulia Mbu (Rungu) umekuzidi mpaka unamtaja Babako na Mamako.
Akili za wanaharakati hizi,mna kazi sana ๐Ÿ˜
Mzee wenu slaa kawafunza kuropoka kama yeye ameropoka ovyo,ananyea debe saizi
Mtanyooka tu
Mama anaupiga mwingi
 
Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia endapo akifariki taarifa itakayotolewa itakuwa ya aina gani.

Soma: Kesi ya Dkt. Slaa imeahirishwa mpaka Februari 18, 2025

"Mzee kama Dkt. Slaa mzee wa miaka 76 amekuwa mbunge kwa miaka 15, amekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa Balozi,unamkamata kesi ambayo ina dhamana unatumia mahakama kumuangamiza, hivi akikufia Rais Samia unamtoaje unatuambiaje watu? kwamba amekufa tu kifo cha kawaida, leo wakakuambia Dkt. Slaa hatupo naye tena unawaambiaje watanzania"

Uonevu, DHULUMA, na manyanyaso daima huwa vinazaa Chuki na Visasi.
 
Akili za wanaharakati hizi,mna kazi sana ๐Ÿ˜
Mzee wenu slaa kawafunza kuropoka kama yeye ameropoka ovyo,ananyea debe saizi
Mtanyooka tu
Mama anaupiga mwingi

Sawa ndio maana baba yako na wewe leo hii unapata kiburi cha kubeza kwa shibe ya siku moja kwa sababu kuna mababu waliipigania uhuru na wengine walikufa, waliteswa kama Dr, ndio maana leo wewe unapata kiburi cha kuchezesha makalio.

Ukipewa tonge kidogo tu unasahau kuna wajukuu zako nao wanaweza wasipate tonge siku zijazo.
 
Kwa akili za wana Chadema hizi,ndio mpewe nchi?๐Ÿ˜
Mtanyooka tu,mtake msitake
Wewe unaleta Uchadema na Uccm baada ya maslai ya nchi kwanza kwa ajili ya ustawi wa ndugu zako na wajuu zako.

Chadema na Ccm vyote vinaweza kupita lakini nchi itabaki, usipoipenda nchi kwa kuwa leo una hela na Bima ya hospitali pasipo kuwa na misingi ya uzalendo kwanza juu ya rasilimali alizotupa Mungu kwa ajili ya vizazi vijavyo ni kazi bure
 
Wewe ni mjinga
 
Sawa ndio maana baba yako na wewe leo hii unapata kiburi cha kubeza kwa shibe ya siku moja kwa sababu kuna mababu waliipigania uhuru na wengine walikufa, waliteswa kama Dr, ndio maana leo wewe unapata kiburi cha kuchezesha makalio.

Ukipewa tonge kidogo tu unasahau kuna wajukuu zako nao wanaweza wasipate tonge siku zijazo.
Wewe ni mpumbavu,makalioyamamako
 
Wewe ni mpumbavu,makalioyamamako
Oyaaaa husikasirike usiku huu !!! Nipo na mamako ametoroka kwa babako, Babako kapigwa sound kuwa anaenda kumcheki dada yako ambae ni mjamzito. Kumbe yupo geto kwa manfilandu ana mfilandu.

Ila kesho nitakucheki
 
Back
Top Bottom