Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche
Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche
hili ropokaji nalo bado lipo 🐒Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche
clip hii watamkamata na kumfungulia uhainiHakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche
Heche ni mbwa asiye na menoHakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche
Mbona rahisi tu! Siku ya uchaguzi waandamanaji na wapiga kura wote watatoka nje, polisi watashindwa kutofautisha nani anakwenda kupiga kura na nani anakwenda kuandamana.Yasibakie KWENYE MANENO TU ANKO tuambie tunauzuiaje mkuu hili swali halija jibiwaga zaidi ni kusema tuta zuia TU kivipi?
Kwish
Huyu naye apunguze bangHakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche
Mbinu nzuri hiiMbona rahisi tu! Siku ya uchaguzi waandamanaji na wapiga kura wote watatoka nje, polisi watashindwa kutofautisha nani anakwenda kupiga kura na nani anakwenda kuandamana.
Polisi wakijaribu kuwafukuza waandamanaji wapiga kura nao watakimbia, hapo sidhani kama uchaguzi utafanikiwa.
Huyu bwege tu. Hawezi kufanya lolote nyumbu watakaodanganyika itakula kwao.Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche
Mzee wa rebu tarimeHakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche