ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Porojo za kujifarijiHakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche
Porojo za kujifarijiHakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche
Kumbe ukiwa nje ya Bunge inatakiwa uwe maitiJazba na mihemko ya Kikurya kamwe aiwezi kutupeleka salama.. Hivi huyu aliingiaje Bungeni? Je,kwanini wakati yupo Bungeni akuwai kuleta hoja hii?
Bila shaka ujaelewa,aliingiaje Bungeni wakati hamna reforms yoyote?Kumbe ukiwa nje ya Bunge inatakiwa uwe maiti
Amani ipi..ya kuwaua akina mzee Ali kibao na wengineAmani haichezewi
Kwahiyo siku hiyo ndiyo mission yetu ya uhaini itakua imetimia kamanda au unataka kunidanganya.Siku zote polisi wanafanikiwa kuzuia maandamano kwa kuwazuia watu wasitoke majumbani mwao kitu ambacho siku ya uchaguzi watashindwa kuwazuia wasitoke.
Maandamano yatakuwa ya vikundi vdogo vidogo vitakavyozagaa maeneo mbali mbali, maandamano hayo yatakuwa hayana muelekeo maalumu, ni kwa ajili ya kuleta taharuki tu.
Itakapotokea taharuki watu wanakimbia hovyo huku na kule, polisi watakuwa wanatawanya mpaka wapiga kura, kwani hakutakuwa na utambulisho wa mpiga kura na muandamanaji.
Kinachotakiwa ni kuleta taharuki tu, hata magaidi ni wachache sana lakini wakikinukisha sehemu kinanuka hasa na kutoa tahatuki!
Wazo zuri sana 😂😂😂Mbona rahisi tu! Siku ya uchaguzi waandamanaji na wapiga kura wote watatoka nje, polisi watashindwa kutofautisha nani anakwenda kupiga kura na nani anakwenda kuandamana.
Polisi wakijaribu kuwafukuza waandamanaji wapiga kura nao watakimbia, hapo sidhani kama uchaguzi utafanikiwa.