GE2025 John Heche: Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
msisahau mashahidi ambao unabii wangu umeniotesha

(a) John mrema mwandika walaka ambao lisu aliusema na kusoma Kwa watia Nia , akisema kwamba endapo kukataa Sheria mbovu ,kanuni na katiba itakuwa ni uasi ngoja akamatwe tu (huyo vyovyote iwavyo lazima atakuwa shahidi na ndomana ni lazima wafichwe chadema ambao mmewahi kusikia kauli ya John mrema mwanasheria wa chadema azeni kufanyika kazi sauti yake ikiwa imefinyangwa (huyu lazima mana tundu lisu hakutaja mbinu ilibakia kusubilia wakati wa uchaguzi ilibakia tu uitwe uasi (someni waraka) na huyu alijua tabia za lisu mana anamfahamu mana alivyokuwa mwanachadema na mwanasheria kwenye kurugenzi ya Sheria ya chama anaijua vizuri misimamo ya ya profesa wa Sheria na nguli wa siasa nchini ndg LISU Hii Mungu ameniotesha

(2)Mchome wa machame hakosekani mana Huyo tambueni mpaka msajili wa vyama anampango nae huko sinza huko (intelijisia ya chama iaze kufikiria sauti zao zinasikikaje zikichezeshwa

(3) Wajumbe wooote waliosaini waraka ule wale G 55 mkiweza anzeni kufikiria kuchezesha sauti zao mana mnazifahamu (vyovyote iwavyo rejeeni kauli ya anayejiita yericko Nyerere atarudi chadema lisu akiwa sio kiongozi kuhusu waserikali kwakweli nanyi chadema azeni kufikiria ni akina nani

Kwa Leo ni hayo tuuuuuu
 
Gentlemen Takataka samia bushiri tutaipiga vita vya jehadi...hakuna mtu ambaye yupo tayari kuongozwa na mwanamke tena mwanamke mpumbavu over😁😁😁
Dr.Samia Suluhu Hassan anaweza kuongoza taifa hili hadi 2035 bila mbambamba za kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa nchini gentleman 🐒
 
Mbona rahisi tu! Siku ya uchaguzi waandamanaji na wapiga kura wote watatoka nje, polisi watashindwa kutofautisha nani anakwenda kupiga kura na nani anakwenda kuandamana.
Polisi wakijaribu kuwafukuza waandamanaji wapiga kura nao watakimbia, hapo sidhani kama uchaguzi utafanikiwa.
Watakuwa ni milioni ngapi dhidi ya wasiotaka NRNE, 2:1 ratio?
 
Wapiga kula wataenda kituo cha kupigia kula ndugu,sasa sisi tutaenda wapi?
Siku zote polisi wanafanikiwa kuzuia maandamano kwa kuwazuia watu wasitoke majumbani mwao kitu ambacho siku ya uchaguzi watashindwa kuwazuia wasitoke.
Maandamano yatakuwa ya vikundi vdogo vidogo vitakavyozagaa maeneo mbali mbali, maandamano hayo yatakuwa hayana muelekeo maalumu, ni kwa ajili ya kuleta taharuki tu.
Itakapotokea taharuki watu wanakimbia hovyo huku na kule, polisi watakuwa wanatawanya mpaka wapiga kura, kwani hakutakuwa na utambulisho wa mpiga kura na muandamanaji.
Watakuwa ni milioni ngapi dhidi ya wasiotaka NRNE, 2:1 ratio?
Kinachotakiwa ni kuleta taharuki tu, hata magaidi ni wachache sana lakini wakikinukisha sehemu kinanuka hasa na kutoa tahatuki!
 
Siku zote polisi wanafanikiwa kuzuia maandamano kwa kuwazuia watu wasitoke majumbani mwao kitu ambacho siku ya uchaguzi watashindwa kuwazuia wasitoke.
Maandamano yatakuwa ya vikundi vdogo vidogo vitakavyozagaa maeneo mbali mbali, maandamano hayo yatakuwa hayana muelekeo maalumu, ni kwa ajili ya kuleta taharuki tu.
Itakapotokea taharuki watu wanakimbia hovyo huku na kule, polisi watakuwa wanatawanya mpaka wapiga kura, kwani hakutakuwa na utambulisho wa mpiga kura na muandamanaji.

KURA NYINGI NI KUTOKA VIJIJINI >80% JE VILLAGERS MTAWA RECUIT VIPI?
 
Mbona rahisi tu! Siku ya uchaguzi waandamanaji na wapiga kura wote watatoka nje, polisi watashindwa kutofautisha nani anakwenda kupiga kura na nani anakwenda kuandamana.
Polisi wakijaribu kuwafukuza waandamanaji wapiga kura nao watakimbia, hapo sidhani kama uchaguzi utafanikiwa.
Hii sidhani kana itazuia uchaguzi, labda italeta machafuko sehemu chache maeneo ya mijini, usisahau nchi ni kubwa hii.
 
msisahau mashahidi ambao unabii wangu umeniotesha

(a) John mrema mwandika walaka ambao lisu aliusema na kusoma Kwa watia Nia , akisema kwamba endapo kukataa Sheria mbovu ,kanuni na katiba itakuwa ni uasi ngoja akamatwe tu (huyo vyovyote iwavyo lazima atakuwa shahidi na ndomana ni lazima wafichwe chadema ambao mmewahi kusikia kauli ya John mrema mwanasheria wa chadema azeni kufanyika kazi sauti yake ikiwa imefinyangwa (huyu lazima mana tundu lisu hakutaja mbinu ilibakia kusubilia wakati wa uchaguzi ilibakia tu uitwe uasi (someni waraka) na huyu alijua tabia za lisu mana anamfahamu mana alivyokuwa mwanachadema na mwanasheria kwenye kurugenzi ya Sheria ya chama anaijua vizuri misimamo ya ya profesa wa Sheria na nguli wa siasa nchini ndg LISU Hii Mungu ameniotesha

(2)Mchome wa machame hakosekani mana Huyo tambueni mpaka msajili wa vyama anampango nae huko sinza huko (intelijisia ya chama iaze kufikiria sauti zao zinasikikaje zikichezeshwa

(3) Wajumbe wooote waliosaini waraka ule wale G 55 mkiweza anzeni kufikiria kuchezesha sauti zao mana mnazifahamu (vyovyote iwavyo rejeeni kauli ya anayejiita yericko Nyerere atarudi chadema lisu akiwa sio kiongozi kuhusu waserikali kwakweli nanyi chadema azeni kufikiria ni akina nani

Kwa Leo ni hayo tuuuuuu
Hii comment nzitosana aise...umemaliza...ndo maana leo wakili kasema haitakua public as wakisikika.yale maneno tutaunganisha dots waja...aise..na jana Mrema hakutokea clouds...uchi wake
 
Hicho kitu hakitatokea. Trust me
Mbona rahisi tu! Siku ya uchaguzi waandamanaji na wapiga kura wote watatoka nje, polisi watashindwa kutofautisha nani anakwenda kupiga kura na nani anakwenda kuandamana.
Polisi wakijaribu kuwafukuza waandamanaji wapiga kura nao watakimbia, hapo sidhani kama uchaguzi utafanikiwa.
ho
 
Yasibakie KWENYE MANENO TU ANKO tuambie tunauzuiaje mkuu hili swali halija jibiwaga zaidi ni kusema tuta zuia TU kivipi?

Kwishaa
Akikujibu nitaomba uni tag. Hili ni swali gumu kabisa. Hii ni ngonjera tamu sana kuitamka na kusikiliza sawa na kelele za mlango kwa mwenyenyumba
 
Back
Top Bottom