byeyombo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 4,343
- 5,589
ulitarajia makubwa toka huyo kilaza!Heche ni mbwa asiye na meno
ulitarajia makubwa toka huyo kilaza!Heche ni mbwa asiye na meno
Akisema watajipanga, kausha kwanza omba uzima utaona itakavyokuwa.Yasibakie KWENYE MANENO TU ANKO tuambie tunauzuiaje mkuu hili swali halija jibiwaga zaidi ni kusema tuta zuia TU kivipi?
Kwishaa
Sisi team mpina kauli mbiu yetu"TUTAJUANA TU HUKOHUKO" full stop
Asante mkuu nime KUPATAAkisema watajipanga, kausha kwanza omba uzima utaona itakavyokuwa.
Kama kashindwa mwenyekiti aweze yeye naniulitarajia makubwa toka huyo kilaza!
Tutaelewana taratibu hii kauli tunzaulitarajia makubwa toka huyo kilaza!
Unaenda kupiga kula utaogopaje polisi?Mbona rahisi tu! Siku ya uchaguzi waandamanaji na wapiga kura wote watatoka nje, polisi watashindwa kutofautisha nani anakwenda kupiga kura na nani anakwenda kuandamana.
Polisi wakijaribu kuwafukuza waandamanaji wapiga kura nao watakimbia, hapo sidhani kama uchaguzi utafanikiwa.
Hatujui. kauli mbiu ya mpina" TUTAJUANA TU HUKOHUKO" FULL STOPKama kashindwa mwenyekiti aweze yeye nani
Sasa unataka waseme kila kitu hadharani?Yasibakie KWENYE MANENO TU ANKO tuambie tunauzuiaje mkuu hili swali halija jibiwaga zaidi ni kusema tuta zuia TU kivipi?
Kwishaa
Jazba na mihemko ya Kikurya kamwe aiwezi kutupeleka salama.. Hivi huyu aliingiaje Bungeni? Je,kwanini wakati yupo Bungeni akuwai kuleta hoja hii?Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche
Polisi watatofautishaje mpiga kura na muandamanaji?Unaenda kupiga kula utaogopaje polisi?
Akili hizi ndizo zilizofanya kagame apenyeze wanyarwanda mpaka kwenye uongozi wa nchi hii sababu ya MAZEZETA Kama wewe. Kapima kaona MAZEZETA yamejaa ccm. Mwanaume kawaweka watu wake mpaka kwenye jeshi. Matokeo mkaenda kichwa kichwa kwa M23 mkala kipigo Leo amtaki hata kusikia kuhusu M23. Na bado endeleeni kupambana na chadema na kuteka watu na kuuwa watu. Mtakuja kushituka uongozi wote wa juu ni watusi.ulitarajia makubwa toka huyo kilaza!
Ila mihemko ya kitusi mpaka mnawapa vyeo serikalini MAZEZETA wakubwa nyinyiJazba na mihemko ya Kikurya kamwe aiwezi kutupeleka salama.. Hivi huyu aliingiaje Bungeni? Je,kwanini wakati yupo Bungeni akuwai kuleta hoja hii?
Wapiga kula wataenda kituo cha kupigia kula ndugu,sasa sisi tutaenda wapi?Polisi watatofautishaje mpiga kura na muandamanaji?
Hamna kitu huyo nashangaa kuna vijana ndio tegemeo lao etiKama kashindwa mwenyekiti aweze yeye nani
Mimi pia ni mtutsi, Una jingine mkuu?Akili hizi ndizo zilizofanya kagame apenyeze wanyarwanda mpaka kwenye uongozi wa nchi hii sababu ya MAZEZETA Kama wewe. Kapima kaona MAZEZETA yamejaa ccm. Mwanaume kawaweka watu wake mpaka kwenye jeshi. Matokeo mkaenda kichwa kichwa kwa M23 mkala kipigo Leo amtaki hata kusikia kuhusu M23. Na bado endeleeni kupambana na chadema na kuteka watu na kuuwa watu. Mtakuja kushituka uongozi wote wa juu ni watusi.
Duuh Bado kwa motoHakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche
Tutafanya Maandamano ya KUPINGA UCHAFUZI huu, nchi nzima. Idd Amin Mama na magenge yake hawatakaa waamini.Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche