GE2025 John Heche: Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unaenda kupiga kula utaogopaje polisi?
 
ulitarajia makubwa toka huyo kilaza!
Akili hizi ndizo zilizofanya kagame apenyeze wanyarwanda mpaka kwenye uongozi wa nchi hii sababu ya MAZEZETA Kama wewe. Kapima kaona MAZEZETA yamejaa ccm. Mwanaume kawaweka watu wake mpaka kwenye jeshi. Matokeo mkaenda kichwa kichwa kwa M23 mkala kipigo Leo amtaki hata kusikia kuhusu M23. Na bado endeleeni kupambana na chadema na kuteka watu na kuuwa watu. Mtakuja kushituka uongozi wote wa juu ni watusi.
 
Mimi pia ni mtutsi, Una jingine mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…