GE2025 John Heche: Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jazba na mihemko ya Kikurya kamwe aiwezi kutupeleka salama.. Hivi huyu aliingiaje Bungeni? Je,kwanini wakati yupo Bungeni akuwai kuleta hoja hii?
Kumbe ukiwa nje ya Bunge inatakiwa uwe maiti
 
Kwahiyo siku hiyo ndiyo mission yetu ya uhaini itakua imetimia kamanda au unataka kunidanganya.
 
Wazo zuri sana 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…