Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sure,
makelele, mdomo, kiburi, jeuri na kubeti ni mambo ambayo yanawakera mno wajumbe wa mktano mkuu wa chadema Taifa,
na kwahivyo,
wajumbe wanayo kazi moja tu, nayo ni kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na wafuasi wake š
Huyu ni Kama KachanganyikiwaKwa mwaka huu hii ni ya ngapi[emoji23]
Wewe kwa upupu ambao huwa unaandika kila mara hapa JF, una uwezo wa kujua nani afaaye na asiyefaa kuwa kiongozi? Wewe ishia tu kwenye uchawa, kazi ambao huwa inafanywa na wale walio na IQ below average.Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa anaemuunga mkono nafasi ya uenyekiti wa chadema Taifa.
Katika kujieleza kwake, kinachojidhihirisha mwanzo kabisaa wa maelezo yake ni kiburi, kisasi na ujeuri wa kiwango cha juu sana dhidi ya viongozi wa sasa wa chadema hususan mwenyekiti wa chadema Taifa. John Heche anajaribu kujieleza na kujipambanua kwa kufokafoka kwa hisia kali, akadhani eti ndio ataonekana jasiri au kwamba yeye ndie mwenye uchungu sana na chadema kuliko wengine, kumbe waerevu wenye hekima na busara wana muona kama mtu anaetumia vitu vya kusisimua akili na kumpa ujasiri wa kujieleza bila woga au kujali macho ya hadhira inayomskiliza.
Kisiasa,
maelezo, mtazamo na muonekano wa Heche vinatia shaka na vinamfanya aonekane kama vile anapitia changamoto au wakati fulani mgumu, na hivyo anaonekana kama mtu ambae si mwema na asie na dhamira au nia njema kwa chadema.
Siasa, hulka na tabia ya uzungumzaji wa John Heche, unashabihiana na unaendana na ule wa Tundu Lisu, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wagombea hawa wakaungwa mkono na watu wa vurugu mithili ya majambazi wa kisiasa, na kusababisha wenye hekima na busara walazimike kuhama kambi kukwepa au kukimbia vurugu za Lisu na Heche uongozini.
Kwa kifupi,
John Heche ameshusha hadhi na kiwango cha kuaminika kwa Lisu miongni mwa wanao muunga mkono.
Lakini pia chemistry ya Heche na Lisu ni kitisho kwa demokrasia, msingi wa kuanzishwa kwa chadema na uhai wa chadema kwenye medani za siasa za Tanzania.š
Mungu Ibarki Tanzania
Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa anaemuunga mkono nafasi ya uenyekiti wa chadema Taifa.
Katika kujieleza kwake, kinachojidhihirisha mwanzo kabisaa wa maelezo yake ni kiburi, kisasi na ujeuri wa kiwango cha juu sana dhidi ya viongozi wa sasa wa chadema hususan mwenyekiti wa chadema Taifa. John Heche anajaribu kujieleza na kujipambanua kwa kufokafoka kwa hisia kali, akadhani eti ndio ataonekana jasiri au kwamba yeye ndie mwenye uchungu sana na chadema kuliko wengine, kumbe waerevu wenye hekima na busara wana muona kama mtu anaetumia vitu vya kusisimua akili na kumpa ujasiri wa kujieleza bila woga au kujali macho ya hadhira inayomskiliza.
Kisiasa,
maelezo, mtazamo na muonekano wa Heche vinatia shaka na vinamfanya aonekane kama vile anapitia changamoto au wakati fulani mgumu, na hivyo anaonekana kama mtu ambae si mwema na asie na dhamira au nia njema kwa chadema.
Siasa, hulka na tabia ya uzungumzaji wa John Heche, unashabihiana na unaendana na ule wa Tundu Lisu, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wagombea hawa wakaungwa mkono na watu wa vurugu mithili ya majambazi wa kisiasa, na kusababisha wenye hekima na busara walazimike kuhama kambi kukwepa au kukimbia vurugu za Lisu na Heche uongozini.
Kwa kifupi,
John Heche ameshusha hadhi na kiwango cha kuaminika kwa Lisu miongni mwa wanao muunga mkono.
Lakini pia chemistry ya Heche na Lisu ni kitisho kwa demokrasia, msingi wa kuanzishwa kwa chadema na uhai wa chadema kwenye medani za siasa za Tanzania.š
Mungu Ibarki Tanzania
muerevu ana relax,Andiko lako lina maneno mengi kabisa ya kinafiki, hiki ulichojibu ndicho ulipaswa kuandika na kuach unafiki.
Non sense!Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa anaemuunga mkono nafasi ya uenyekiti wa chadema Taifa.
Katika kujieleza kwake, kinachojidhihirisha mwanzo kabisaa wa maelezo yake ni kiburi, kisasi na ujeuri wa kiwango cha juu sana dhidi ya viongozi wa sasa wa chadema hususan mwenyekiti wa chadema Taifa. John Heche anajaribu kujieleza na kujipambanua kwa kufokafoka kwa hisia kali, akadhani eti ndio ataonekana jasiri au kwamba yeye ndie mwenye uchungu sana na chadema kuliko wengine, kumbe waerevu wenye hekima na busara wana muona kama mtu anaetumia vitu vya kusisimua akili na kumpa ujasiri wa kujieleza bila woga au kujali macho ya hadhira inayomskiliza.
Kisiasa,
maelezo, mtazamo na muonekano wa Heche vinatia shaka na vinamfanya aonekane kama vile anapitia changamoto au wakati fulani mgumu, na hivyo anaonekana kama mtu ambae si mwema na asie na dhamira au nia njema kwa chadema.
Siasa, hulka na tabia ya uzungumzaji wa John Heche, unashabihiana na unaendana na ule wa Tundu Lisu, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wagombea hawa wakaungwa mkono na watu wa vurugu mithili ya majambazi wa kisiasa, na kusababisha wenye hekima na busara walazimike kuhama kambi kukwepa au kukimbia vurugu za Lisu na Heche uongozini.
Kwa kifupi,
John Heche ameshusha hadhi na kiwango cha kuaminika kwa Lisu miongni mwa wanao muunga mkono.
Lakini pia chemistry ya Heche na Lisu ni kitisho kwa demokrasia, msingi wa kuanzishwa kwa chadema na uhai wa chadema kwenye medani za siasa za Tanzania.š
Mungu Ibarki Tanzania
Dogo,wajumbe wa mktano mkuu wa chadema Taifa ndio pekee wenye turufu ya kuamua anaefaa kua boss mpya wa Chadema Taifa,
naandika kwasabb nawafahamu vizuri,Wewe kwa upupu ambao huwa unaandika kila mara hapa JF, una uwezo wa kujua nani afaaye na asiyefaa kuwa kiongozi? Wewe ishia tu kwenye uchawa, kazi ambao huwa inafanywa na wale walio na IQ below average.
TusubiriInfact,
wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa wamejipanga kuwashikisha adabu kibaraka na makelele yake, lakini pia wafuasi wake wenye mihemko kiburi na ujeuri usio na kichwa wala mkia Jan 22,2025 š
Actually,
hoja na mabandiko yangu mengi humu JF ni matokeo ya tafiti mbalimbali nyingi mno ninazoendelea kuzifanya, kwa muda mfupi, wa kati na muda mrefu.
Hata hivyo,
ni akili moto na bongo kali pekee ndiyo inaweza kuibua mambo rahisi na ya kweli, huku wanaojiita waerevu wasioyaone bali wakaishia kua na makasiriko tu bila mawazo mapya wala fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi mezani.
hulka zisizo za kiadilifu, hulka za ubinafsi fujo, makelele, mdomo, kiburi na ujeuri, zinataka kujipenyeza kwenye demokrasia na kubomoa ustawi wa vyama vya siasa nchini, eti mtaalamu mbobevu muandamizi nikae kimya, nikaingie google kitazama documentary š¤£
acha mzaha bas gentleman?
yaani ukoloni mambo leo unarejeshwa nchini wazi wazi kabisa na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, eti unadai, ninajadili watu badala ya masuala?
ninawajibika kujitolea kuinusuru demokrasia ndani ya vyama vya siasa, lakini pia kulinda umoja amani na utangamano miongoni mwa waTanzania, hata ikiwa baadhi ya wadau wataendekeza chuki dhidi ya hoja mahususi mezani,
My friends ladies and gentlemen,
ni muhimu zaidi as Tanzanians tuendelea kua pamoja licha ya kutofautiana kwenye mambo haya machache ya kisiasa.š
Pilipili usoila...Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.